Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Nimeshangaa sana,afu liko fasta sanaNililivulia mikono nilipogundua na Mimi linanijua na linaloelezea kinagaubaga
Chura kiziwi linamjua!?Nipo nalo hapa naliuliza Chura Kiziwi anadedi lini linajua but linagoma kuniambia,linataka malengo yangu hasa ni nini kujua hilo.
Likajibuje?Kuna siku nililiuliza wewe Ni Nani?
ChaiNililivulia mikono nilipogundua na Mimi linanijua na linanielezea kinagaubaga
Mim nalifikiri inakusanya zile taarifa zote zilizopo google ambazo zinaendana na kile ulichouliza lakin nimekuja kugundua hili dude ni zaidi ya google yaan lina taarifa zingine ambazo hata google hazipo au sio rahis kuziona googleNijitahidi sana kujiuliza hii system inafanyaje kazi,inapataje majibu ya kukujibu tena kwa haraka,sijapata jibu
Kuna mwamba amechambwa jana hadi akaeta uziLikajibuje?
Yaan mpaka linazile swaga za kiswahili kabisa
Afu kama linajinsia ya kike hv swaga zake
Ngoja niichukue nione nao maajabu yaokuna hii ya wachina
LikaLikajibuje?
Yaan mpaka linazile swaga za kiswahili kabisa
Afu kama linajinsia ya kike hv swaga zake
Likajibu lenyewe kuwa sii binadamu Ila Ni mkusanyiko wa taarifa,daaa.Likajibuje?
Yaan mpaka linazile swaga za kiswahili kabisa
Afu kama linajinsia ya kike hv swaga zake