hawa ni watu tofauti sana na jami zetu..
wengi na dhani familia zao haziruhusu lakini mtu akisha kua huwezi kumchagulia maisha..
na utashangaa wengine familia zao zinawasaport...
kuna kitu kilinisikitisha sana na kunishangaza " kwenye familia fulani nilisikia ni family bussiness"
wenyewe hafanyi lakini ..
lakini baba ndo director na mama ndo producer....
ujue dunia ndo tumekwisha hivyo...
"ka kuna mtu ataniuliza zaidi kuhusu hili sintojibu samahani"
kuna dada anaitwa Jenna Jamison ni mama anafamilia na watoto wawili ..
she is the richest porn star in the world...
she get $30 million +...... a year...
kasema kaacha hiyo buss sasa ni mama wa nyumbani na anatunza watoto wake..
lakini kitu kinacho mwogpesha sana ni nini atawaambia watoto wake wakikua..
hope nimekujibu..
AD..[/QUOTE
Asante Afrodenzi, Sijui watoto wake watajisikiaje kwa huyo mama? Huruma kwa kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
yeah alikuwa anahojiwa na Oprah ..
anasema hajui hata atawambia nini watoto wake..
kasema labda wataona hizo movies kabla hajawaambia..
na anaogopa sana jinsi watu watakavyo treat watoto wake especially wakianza shule..