Jamani hawa wauza viatu hapa opposite na kituo cha mafuta cha mabibo ni wezi!? nini?! Mbona wamening'ang'ania sana ninunue kiatu, mpaka nilipowachimba mkwara ndipo wakaniruhu niende zangu. Eti kama hela haitoshi, nikusindikize ukachukue.