Hawa wauza viatu soko la njia panda ya mabibo vipi??

Nzowa Godat

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2011
Posts
2,785
Reaction score
821
Jamani hawa wauza viatu hapa opposite na kituo cha mafuta cha mabibo ni wezi!? nini?! Mbona wamening'ang'ania sana ninunue kiatu, mpaka nilipowachimba mkwara ndipo wakaniruhu niende zangu. Eti kama hela haitoshi, nikusindikize ukachukue.
 
teh teh teh hii kali
 
Back
Top Bottom