Jahazi linaanza kuzama kwenye kina kifupiTayari tushapigwa 1
Duuh balaaaVyura 0 - 1 Rollers
Mbona umepotea no UpdateHeeeh...leo nipo jukwaa hili la michezo. Nimeona...Yanga leo wanashinda. Tena kwa bao nyingi tu. Hongeren sana wanayanga.
Kama T/Roller leo wakishinda...natoa offer ya mtu kunipiga piga na kimto cha kulalia mgongoni mpaka nife.
Yanga tufurahieni ushindi wa Bao 3 kwa Nunge 0 upo.
Huyu Zahera atatuudhi sasaHeeeh...leo nipo jukwaa hili la michezo. Nimeona...Yanga leo wanashinda. Tena kwa bao nyingi tu. Hongeren sana wanayanga.
Kama T/Roller leo wakishinda...natoa offer ya mtu kunipiga piga na kimto cha kulalia mgongoni mpaka nife.
Yanga tufurahieni ushindi wa Bao 3 kwa Nunge 0 upo.
Mkuu bado 1-0Amkeniiiiiii Amkeniiiiiiii bwanaaaaa Kwasu kwasu fc wamefungwa tena bwanaaa uuuuuuu hahahaaaaaa
Heeeh...leo nipo jukwaa hili la michezo. Nimeona...Yanga leo wanashinda. Tena kwa bao nyingi tu. Hongeren sana wanayanga.
Kama T/Roller leo wakishinda...natoa offer ya mtu kunipiga piga na kimto cha kulalia mgongoni mpaka nife.
Yanga tufurahieni ushindi wa Bao 3 kwa Nunge 0 upo.