Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 Aug 11, 2019 #41 Sesten Zakazaka said: Wazanzibari walikua na msemo wao "kufungwa twafungwa lakini chenga twawala", ni hilo unalolisema hapa ujueπππ Click to expand... Hahahaaa. Na matokeo yenu kule Msumbiji yamekuwaje kwani?
Sesten Zakazaka said: Wazanzibari walikua na msemo wao "kufungwa twafungwa lakini chenga twawala", ni hilo unalolisema hapa ujueπππ Click to expand... Hahahaaa. Na matokeo yenu kule Msumbiji yamekuwaje kwani?
S Sesten Zakazaka JF-Expert Member Joined Sep 10, 2017 Posts 10,559 Reaction score 19,101 Aug 11, 2019 #42 Shadeeya said: Hahahaaa. Na matokeo yenu kule Msumbiji yamekuwaje kwani? Click to expand... Ndio kama ulivoona na kusikia tumewabana watu mbavu nyumbani kwao, uwanja wao, mashabiki wao
Shadeeya said: Hahahaaa. Na matokeo yenu kule Msumbiji yamekuwaje kwani? Click to expand... Ndio kama ulivoona na kusikia tumewabana watu mbavu nyumbani kwao, uwanja wao, mashabiki wao
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 Aug 11, 2019 #43 Sesten Zakazaka said: Ndio kama ulivoona na kusikia tumewabana watu mbavu nyumbani kwao, uwanja wao, mashabiki wao Click to expand... Haya bana Ses ngoja tugange ya marudiano sasa.
Sesten Zakazaka said: Ndio kama ulivoona na kusikia tumewabana watu mbavu nyumbani kwao, uwanja wao, mashabiki wao Click to expand... Haya bana Ses ngoja tugange ya marudiano sasa.
S Sesten Zakazaka JF-Expert Member Joined Sep 10, 2017 Posts 10,559 Reaction score 19,101 Aug 11, 2019 #44 Shadeeya said: Haya bana Ses ngoja tugange ya marudiano sasa. Click to expand... Na kweli Shadeeya tusiandikie mate na wino ungalipo tuombe uzima
Shadeeya said: Haya bana Ses ngoja tugange ya marudiano sasa. Click to expand... Na kweli Shadeeya tusiandikie mate na wino ungalipo tuombe uzima