Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Na matokeo yenu kule Msumbiji yamekuwaje kwani?Wazanzibari walikua na msemo wao "kufungwa twafungwa lakini chenga twawala", ni hilo unalolisema hapa ujue😃😃😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Na matokeo yenu kule Msumbiji yamekuwaje kwani?Wazanzibari walikua na msemo wao "kufungwa twafungwa lakini chenga twawala", ni hilo unalolisema hapa ujue😃😃😃
Ndio kama ulivoona na kusikia tumewabana watu mbavu nyumbani kwao, uwanja wao, mashabiki waoHahahaaa. Na matokeo yenu kule Msumbiji yamekuwaje kwani?
Haya bana Ses ngoja tugange ya marudiano sasa.Ndio kama ulivoona na kusikia tumewabana watu mbavu nyumbani kwao, uwanja wao, mashabiki wao
Na kweli Shadeeya tusiandikie mate na wino ungalipo tuombe uzimaHaya bana Ses ngoja tugange ya marudiano sasa.