Hawa Wazanzibar wanaotumia Leseni za Zanzibar kuendesha gari Tanganyika Wakamatwe

Hawa Wazanzibar wanaotumia Leseni za Zanzibar kuendesha gari Tanganyika Wakamatwe

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Tangu Samia Suluhu Hassan ajimilikiishe Tanganyika, kumekuwepo na Wimbi la Wapemba wansotumia Leseni za Zanzibar Tanzania bara.
images (10).jpeg

Hawa ndugu zake samia wote wana leseni za Zanzibar.

Wote wakamatwe kwani Leseni sio jambo la Muungano.

Pia wasiijifanye ni International license sababu Zanzibar haina uwezo wa kuingia mikata ya kimataifa.

Wale watu wa Kizimkazi, Jambiani na Makunduchi, Wote wasukumiwe ndani.

Wazanzibari wazidi dharau. Unendeshaje gari Dar halafu unaonesha leseni ya Zanzibar na?

Kama wanataka waje VETA wasime.

Samia akifa au akimaliza hiyo miezi ilobaki, wote tutawafurumusha.

Wazanzibari wanavunja Sheria Traffic wanachekelea
 
Back
Top Bottom