Pre GE2025 Hawa wazee wanaondoka hivi, 2030 patachimbika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wenzenu wana rithisha vizazi vyao
Wakamate uongozi...
Mwendo wa kupokezana vijiti tu !

Ova
 
Kwa nini unadhani tunatakiwa kukaa na kuomba, ili tujionee mengi badala ya kupigania mabadiliko yatakayobadilisha maisha yetu? Hili ndilo tatizo letu kubwa: kuangalia siasa na viongozi wetu kama sinema yenye kufurahisha ambayo haituhusu. Yaani wewe umeshakaa na kupiga mahesabu ya 2035 kuwa hawa vibaka ndiyo pekee wenye haki na uwezo wa kutupatia viongozi na siyo matakwa yetu wananchi?
 
Alisema wazee wana viherehere na akaondoka kabla yao
Siasa hizi
Naona 2030 watagombania sio Chama bali maslahi ya kula tu
Kama mnatawaliwa miaka zaidi ya 60 ongeza 60 zingine labda ndio mtaamka la sivyo hawa hawa ndio watoto wao mda huo watakuwa na mvi na kuitwa wazee na vijana wa sasa.

Na hao watoto wana uroho zaidi ya Chama
Imagine huyo wa fedha anamuandaa eti chipukizi hapo kuna mabadiliko
Mtasubiri sana labda wajeda tuje 😄
 
Na Mkwere JK 2030 hatoboi
Lazima awe kafukiwa Msoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…