Unajua laki unaiona hela kulingana na urefu wa kamba yako.
Kwa hiyo usifikiri kila mtu anaichukulia laki kama unavyoiona wewe, jitahidi ule urefu wa kamba yako tu.
Wanawake wamejaa kibao kitaani, hapo umekutana na nyonya damu piga chini haraka sana, siku nyingine wakati wa kutongoza mwambie kabisa kua wewe una allergy ya kuombwa hela.
Mbona sisi huku kitaani kwetu mademu zetu hua hawataki kabisa hela, ukitaka kumfurahisha labda umnunulie tu mwenyewe zawadi ila pesa cash hawachukui wanasema wao sio wadangaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.