Wakutu
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 249
- 173
Mwaka 2007 nilienda California kwa ufadhili wa mashirika flan ya dini ya hukohuko marekani nilikaa kule kwa miez 10 then nikarud bongo likizo nilivyorudi nilikuwa na wamarekani wawili mwanaume na mwanamke ambao nilikujanao kuja kuwatoa vumbi la macho wapajue Bongo kidogo...Sasa bas tulipotua Bongo tukapitia moja kwa moja ktk ubalozi wao,kama kawaida yao wakiingiaga Afrika huwa wanapewa vitu na chanjo zao Zile na kwa kuwa nami nilikuwa nao na nahisi kutokana na mashirika niliyotoka kule kwao nami wakanitreat kama raia wao.Basi kati ya vitu walivyonipa ilikuwa ni kidonge flan hivi kikubwa kiasi kama ukubwa wa sarafu ya sh 100.Hicho kidonge unakimega robo na kumeza kila baada ya siku 3 na ni kidonge cha kuzuia malaria.Baada ya wik 4 tukarud US,Then mwaka 2009 nikarud moja kwa moja Bongo....Chakushangaza au cha kufurahisha baada ya kumeza kile kidonge sijawahi kuugua Malaria wala hata dalili na ni miaka karibu minne sasa wakat hapo kabla mi nikikuwa haipiti miezi minne nisiugue au kusikia dalili za malaria na ninatafunwa na mbu haswa sababu ya mazingira nayoshughurika nayo.....Sasa swali kama dawa za iana hiyo zipo kwanini wasituletee Sisi huku wanabaki kutumia wao tu na
sie huku wanatuletea na kusisitiza
tutumie net......aaaah hawa watu bwaaana!!!!
sie huku wanatuletea na kusisitiza
tutumie net......aaaah hawa watu bwaaana!!!!