Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kama asemavyo Gentamycine, hataki unafiki, na mm Leo kwa kweli nmevumilia nmeshindwa, nimebana weeee KMKM wapate bao au angalau washinde lakn imeshindikana, Wamekufa dakika za mwisho, yaani wachezaji wa yanga leo ni kama wale waliocheza Simba jana lakini wenzetu ni tofauti, wanaipigania nembo mno, wamechezesha kikosi cha 2 lkn mpira mwingi wameupiga, sisi kelele nyingi lakini hakuna kitu.
Tukitoa ushauri hatusikilizwi, usajili wenyewe haueleweki, timu inafanya vizuri mara kocha anabadilishwa, basi vurugu tupu.
Hongereni Yanga, hata tukiwachukia nyie mnamwagilia moyo tu, kudadadeki zenu.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app