Hawa Yanga hata ukiwachukia ni kazi bure, wanamwagilia moyo tu kila walipo. Singida kazi wanayo

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Kama asemavyo Gentamycine, hataki unafiki, na mm Leo kwa kweli nmevumilia nmeshindwa, nimebana weeee KMKM wapate bao au angalau washinde lakn imeshindikana, Wamekufa dakika za mwisho, yaani wachezaji wa yanga leo ni kama wale waliocheza Simba jana lakini wenzetu ni tofauti, wanaipigania nembo mno, wamechezesha kikosi cha 2 lkn mpira mwingi wameupiga, sisi kelele nyingi lakini hakuna kitu.

Tukitoa ushauri hatusikilizwi, usajili wenyewe haueleweki, timu inafanya vizuri mara kocha anabadilishwa, basi vurugu tupu.

Hongereni Yanga, hata tukiwachukia nyie mnamwagilia moyo tu, kudadadeki zenu.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Hii ndo shida ya kuwa shabiki yaani unaumia akati wachezaji wanachekaa na wanaenjoy tu.

Jamani tuache ushabiki wa kupitiliza tutakuja kujinyonga bure ohoooo..

We unadhani kina gadiel wanaumia na haya matokeo??
 
Kwann wasiumie hivi ushawahi kucheza mpira kaka? Unajua uchungu wa kufungwa?
Wanaumia wachezaji walioshindwa kuonesha uwezo wao na hakuna shabiki wa Simba anaumia kwa hizi mechi za mapinduzi.

Ni akili zenu tu utopolo kujaribu kujilinganisha na Simba kwenye kila tukio.

Mngekuwa mnalingana na Simba, mngekuwa club bingwa Afrika.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Huko Club Bingwa Afrika mna Makombe mangapi hadi sasa?
Hebu tuoneshe tuumie roho [emoji23][emoji23]
 
Mafanikio ya mpira sio vikombe pekee mkuu. Mpira ni biashara kwahiyo kitendo cha kuingia kuanzia makundi tu champions league unapata mpunga wakutosha.

Ndiyo maana kuna baadhi ya timu zinajiwekea malengo ya msimu labda kufika robo fainali ama nusu fainali kwasababu wanajua watapata pesa nzuri na pia kuwatangaza na kuwapandisha thamani wachezaji na bench la ufundi.
 
Wanaumia wachezaji walioshindwa kuonesha uwezo wao na hakuna shabiki wa Simba anaumia kwa hizi mechi za mapinduzi.

Ni akili zenu tu utopolo kujaribu kujilinganisha na Simba kwenye kila tukio.

Mngekuwa mnalingana na Simba, mngekuwa club bingwa Afrika.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
😅😅😅😅 Shabiki wa Simba wakiishiwa point, wanakinbilia kuongelea klabu bingwa. Broh Uzi unaongelea Mapinduzi cup
 
Mafanikio ya mpira sio vikombe pekee mkuu. Mpira ni biashara kwahiyo kitendo cha kuingia kuanzia makundi tu champions league unapata mpunga wakutosha.

Ndiyo maana kuna baadhi ya timu zinajiwekea malengo ya msimu labda kufika robo fainali ama nusu fainali kwasababu wanajua watapata pesa nzuri na pia kuwatangaza na kuwapandisha thamani wachezaji na bench la ufundi.
Hayo mafanikio ya club bingwa yako wapi mpaka timu inaishia kusafiria coaster !?😂😂😂
 
Kikosi cha pili kilikuwa nawachezaji wa Tano tu. Mauya, Faridi Mussa, Ambundo, clement na Mwamnyeto waliobaki wote ni under 20
.......na majeruhi wa muda mrefu kama Kambole, Yacouba na Cripin Ngushi.

Binafsi nilifikiri tungefungwa aisee. Imagine Farid Musa eti ndiyo alikuwa kiungo namba 8!!!
 
Mafanikio ya mpira sio vikombe pekee mkuu. Mpira ni biashara kwahiyo kitendo cha kuingia kuanzia makundi tu champions league unapata mpunga wakutosha.

Ndiyo maana kuna baadhi ya timu zinajiwekea malengo ya msimu labda kufika robo fainali ama nusu fainali kwasababu wanajua watapata pesa nzuri na pia kuwatangaza na kuwapandisha thamani wachezaji na bench la ufundi.
Hiyo ya kuwapandisha thamani wachezaji hiyoo naona kama haijakaa vizuri.
Ndani ya miaka 4 Captain BOKO ameshacheza Quarter Final 3, angekuwa Ulaya muda huu yeye na rafiki yake Onyango au hata kwenye nchi hizi hizi za Kiafrika zilizotuzidi boli.
 
Back
Top Bottom