Hawa Yanga SC watasumbua sana msimu huu

Hawa Yanga SC watasumbua sana msimu huu

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Wanacheza mpira tofauti sana na ule wa Prof Nabi. Hawategemei kukaa sana nyuma, wanakabia katikati ya Uwanja kukunyima nafasi ya kupiga progressive pasi huku wakimlazimisha mpinzani kupiga mipira mirefu.

Kuna mpira fulani hivi wa kisasa wamekuja nao, hasa kwenye final third, huoni wakiwa na papara sana ya kifunga wala kushambulia, mara nyingi wanaonekana wakitengeana mipira ndani ya box.

Hii itawasumbua sana wapinzani. Kwa kuwa aina hii ya ushambulizi haikulazimu sana kucheza na pure CF.

PACOME hakuwepo kwenye hesabu za leo.

MOLOKO hakuwapo kabisa.

KONKONI hakuwepo hata nje ya uwanja.

Those are very much key players ambao wakiingia wanabadili taswira nzima ya kikosi chao.

Sioni kuna atakaye tokea na kudai pengo la Fiston bado lingali hai kwasababu watawafunga sana wanyonge wa ligi hii.

Azam FC ni wale wale. Ni wa Juzi, Jana na Leo. Sioni wakimaliza juu ya nafasi ya 3 za ligikuu.

Nabi Kasepa, Lakini Daftari la Notes kalisahau Jangwani.

20230809_210402.jpg
 
View attachment 2712957
Siku huo mfumo uki-click kabisa aisee!.. kuna balaa linakuja
 
Gamondi amekuja na material yake
 
To me naona wana team nzuri ila sio kama ya mwaka jana
Pengo la Mayele litadhihiri sana
Ukimtoa Mayele mchezaji gani mwingine alieondoka unaona kama angekuwepo angepata namba?
Kwanza kwa msimu uliopita sikumbuki mechi yoyote tuliyocheza vizuri kama ya leo hasa kipindi cha pili, kama ipo itaje.

Kuhusu Mayele ni kama vile unatamani hilo pengo liwepo.
 
Back
Top Bottom