Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nimejitahidi Kuwasililiza hawa utopolo lakini nimeshindwa... Hebu wasikilize kama utawaelewa.
Hawaeleweki kabisa!!
Hawaeleweki kabisa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika aliyewaita utopolo alitafakari mbali sanaNimejitahidi Kuwasililiza hawa utopolo lakini nimeshindwa... Hebu wasikilize kama utawaelewa.
View attachment 3226337
Hawaeleweki kabisa!!
Kwamba?
Eenh wanazungumzia nini!?Mbona wanaeleweka kabisa.
JikumbusheKwamba?
Wanasema bora Gamondi arudi...Nimejitahidi Kuwasililiza hawa utopolo lakini nimeshindwa... Hebu wasikilize kama utawaelewa.
View attachment 3226337
Hawaeleweki kabisa!!
Umuhimu wa yanga kushinda Kila mechi yake ikiwemo Ile ya trh 08/03Eenh wanazungumzia nini!?
Kumbe😄😃😀😆WAMESEMA
Goli alilofungwa diara ni goli bora la msimu