Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hakika aliyewaita utopolo alitafakari mbali sanaNimejitahidi Kuwasililiza hawa utopolo lakini nimeshindwa... Hebu wasikilize kama utawaelewa.
View attachment 3226337
Hawaeleweki kabisa!!
Kwamba?
Eenh wanazungumzia nini!?Mbona wanaeleweka kabisa.
JikumbusheKwamba?
Wanasema bora Gamondi arudi...Nimejitahidi Kuwasililiza hawa utopolo lakini nimeshindwa... Hebu wasikilize kama utawaelewa.
View attachment 3226337
Hawaeleweki kabisa!!
Umuhimu wa yanga kushinda Kila mechi yake ikiwemo Ile ya trh 08/03Eenh wanazungumzia nini!?
Kumbe😄😃😀😆WAMESEMA
Goli alilofungwa diara ni goli bora la msimu