Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Hawa waheshimiwa wameumia sana kwani JPM alikuwa sehemu ya maisha yao.
Everything shall come to passHawa waheshimiwa wameumia sana kwani JPM alikuwa sehemu ya maisha yao.
Kibaya zaidi wameshuhudia mateso ya boss wao live
Everything shall come to passHawa waheshimiwa wameumia sana kwani JPM alikuwa sehemu ya maisha yao.
Kibaya zaidi wameshuhudia mateso ya boss wao live
Sana yani, wamepoa na kunyong'onyea kabisaMaskini, nyuso zao zimejaa simanzi!
Hapo hata hawawazi per diem. Ukiondokewa na mtu ambae kila siku ulikuwa nae huwa ni maumivu makali sanaDaa maisha haya.per diem ndio basi tena
Sure, wameona dk ya mwisho ya boss wao, inauma sanaHawa waheshimiwa wameumia sana kwani JPM alikuwa sehemu ya maisha yao.
Kibaya zaidi wameshuhudia mateso ya boss wao live
Ni huwa inakuwaga ivo ama ni maono yako binafsi?Wa kulia atapandishwa kuwa Brig. General
Furaha imewatoka kabisa, kama wamepigwa ganzi sema wanajikaza kiume tu, ila huenda wakirudi magetoni wanapata mda wa kulia ili kuondoa uchungu na maumivu πππWanaonekana kama wamelia usiku kucha kwani macho yao yamevimba!! Poleni sana .
Huyo wa kulia anaenda kuwa Brig, General. Ila inauma sana, team yote hiyo inasambaratika, dah inauma sanaaa.. ππ.. nahisi hadi huzuni yao. Kwao ni nyakati ngumu pia katika safari yao ya maishaWa kulia atapandishwa kuwa Brig. General