Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,625
- 3,735
Wa mama samia ni kanali tayari mzee wampandishe cheo gani mkuu.unamkumbuka mkelemi amekaa na ukanali miaka mingapi unajua?Akipandishwa tu huyu mama wa Samia Suluhu, nae anakula u brigedi jenerali.. nahisi amekaa nacho kama miaka mitatu. Maana yule hakukaa nae sana