Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaotafuta wachumba jf muwe na maelezo yenye shibe humu wanawake wa jf wameitimu Bagamoyo chuo cha sanaa nawengine wapo Nyumba ya sanaa!!Hivyo kuweni makini msijekuta mnanachumbiwa wenyewe!!
Nimeamka salama je hamjambo huko??je nanyie mmeamkaje??
Wamejaa sanaa tupu
Mnaotafuta wachumba jf muwe na maelezo yenye shibe humu wanawake wa jf wameitimu Bagamoyo chuo cha sanaa nawengine wapo Nyumba ya sanaa!!Hivyo kuweni makini msijekuta mnanachumbiwa wenyewe!!
Mimi kama mdau nawapa angalizo hawa watokafacebook wasije naimani kukuta wakywalea vyuoni nakuwapa hela ya matumizi!!Mimi longtime hanohano!!mimi mwalimu!!
Ahaaaaa konaipi??basi leo pm nitakuwa pale wenawe mwogamwogaaa utdhani uko kidato cha pili jiripue mamy!!!!kuzaliwa siku moja kufa siku moja hautazaliwa mara yapili!!wewe leo....mmmh....habari ya calabash?....nilikuwa hapo jana
Ahaaaaa konaipi??basi leo pm nitakuwa pale wenawe mwogamwogaaa utdhani uko kidato cha pili jiripue mamy!!!!kuzaliwa siku moja kufa siku moja hautazaliwa mara yapili!!
poa nikiwa pale nitakuwa nakuPM
Mnaotafuta wachumba jf muwe na maelezo yenye shibe humu wanawake wa jf wameitimu Bagamoyo chuo cha sanaa nawengine wapo Nyumba ya sanaa!!Hivyo kuweni makini msijekuta mnanachumbiwa wenyewe!!
mhandisi!hivi sanaa yako ulipatia chuo gani vile?
Mimi tayari usiogope!!!mkuu naziada sitaki!mkuu mbona unawasemea tu hawa dada zetu?hakuna wanaume waliohitimu bagamoyo?is the matter of seriousness knowing what we need ikiwa goodluck u can have someone here, though one should be very keen.
mhandisi!hivi sanaa yako ulipatia chuo gani vile?