Hawajamaliza: Mabando ya data kupanda tena upya, Naibu spika ampa kibarua Nnape kupandisha gharama

Hawajamaliza: Mabando ya data kupanda tena upya, Naibu spika ampa kibarua Nnape kupandisha gharama

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Bado hawajamaliza,

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe.Nape Nnauye, kuona namna watakavyoweza kushirikiana na Wizara ya Fedha, kuja na mfumo thabiti utakachochea ongezeko la mapato ya serikali kupitia matumizi ya data.
 
Zungu aambiwe inakuja siku sata itakuwa kama mawasiliano ya fedio... Free of charge yani awaze vitu vingine
 
Hovyo sana huyu mtu ana elimu gani.
 
Attachments

  • Screenshot_20220921_153654.jpg
    Screenshot_20220921_153654.jpg
    101.3 KB · Views: 4
Huyu ni zaidi ya mtumbwi wa kibwengo. Wananchi tujilaumu wenyewe Hivi unamchaguaje mtu wa aina hii awe mwakilishi wako bungeni?
Wapo wamejaa bungeni wanatafuna kodi zetu tu. 2025 watu wa aina tusiwape tena nafasi.
 
Hii nchi kuna viongozi wanatia hasira sana.
 
Viongozi wetu wamekosa ubunifu, hawataki kuchosha akili zaokutafuta mbinu za kuongeza mapato serikalini zaidi ya kuhakikisha wanambana mwananchi wa chini, wanasahau wanasahau kuwa hata ng'ombe wa waziwa anahitaji kulishwa ndio akamuliwe vinginevyo unaweza kamua damu badala ya maziwa.
 
GB 1 = Tsh 5000 [emoji45] huko ni kuongeza ugumu wa maisha
 
Back
Top Bottom