Naunga mkono hoja!Napendekeza serikali ipandishe GB1 iwe 10,000Tshs.
Zungu aambiwe inakuja siku sata itakuwa kama mawasiliano ya fedio... Free of charge yani awaze vitu vingineBado hawajamaliza,
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe.Nape Nnauye, kuona namna watakavyoweza kushirikiana na Wizara ya Fedha, kuja na mfumo thabiti utakachochea ongezeko la mapato ya serikali kupitia matumizi ya data.
Hasa ukiwa kula kulala kila kitu bure we kuitwa mezani tuMwenye shibe hamjui mwenye njaa
HakikaHasa ukiwa kula kulala kila kitu bure we kuitwa mezani tu
Duh!!! 🤣🤣🤣Panya road hawajui nyumbani kwa zungu?