Huwezi kuwaona akina Lucas Mwashambwa wala Tlaatlaah wakija kuchambua hapa maana neno HAKI kwao ni ugaidi
Amani ya Bwana na upendo wa Yesu Kristo viwe nanyi nyote sasa na hata milele Aimen πHuwezi kuwaona akina Lucas Mwashambwa wala Tlaatlaah wakija kuchambua hapa maana neno HAKI kwao ni ugaidi
Nashukuru unaniita gentleman wakati najua haumaanishi hivyo.Amani ya Bwana na upendo wa Yesu Kristo viwe nanyi nyote sasa na hata milele Aimen π
Gentleman,
Amani ni baba, mama, bibi na bubu wa haki.
Bila amani, fursa hupotea na ndoto husimama. Kila mmoja wetu ana wajibu wa kulinda amani. Tanzania ni yetu sote, tuilinde.π
Gentleman,Nashukuru unaniita gentleman wakati najua haumaanishi hivyo.
Zaidi ya ufisadi na kukandamiza raia, ni kitu gani kingine Amani kumewasaidia watawala?
Wafuasi wa ma-cartels ya mafuta ni nguruweGentleman,
bila amani,
ufisadi wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa usingeonekana na wala asingedhulumu uhai wa mfanyakazi wake kindezi ndezi vile kwasababu ya pesa, kwakua ingekua ni tafrani kukimbia kiholela kila moja kutetea uhai wake, okay?π