Hawajutii na wala hawatokuja kujutia walichokifanya

Pah Amadu

Member
Joined
Feb 16, 2022
Posts
25
Reaction score
20
Kama huyu PM ndiye mtendaji mkuu wa shughuli za serikali basi kama tutapitia kipindi kigumu zaidi huko mbeleni.

Yaani PM analinganisha mauaji ya 29th Oct na ajali ya MV Bukoba, na kuamua kuzuia misiba ya kila nyumba kwa kuzuia maiti za watu na kwenda kuzipoteza kusipojulikana ni kitendo cha kishetani sana.

Kwamba gavoo ilihofia wasipozuia maiti za watu wakaruhusu kila familia izike wapendwa wao ingechafua taswira ya nchi wakati ni wao wenyewe ndo wamesababisha?

Hii ni mbaya sana💔💔💔
 
Tuendelee kusoma visomo vyetu ili parapanda ilie na bendera nusu mlingoti ipandishwe mapema kabla Mwaka huu haujaisha.

Kapora uhai wa Ndugu zetu na mbaya zaidi kawafukia kibabe
 
Kama huyu PM ndiye mtendaji mkuu wa shughuli za serikali basi kama tutapitia kipindi kigumu zaidi huko mbeleni.

Yaani PM analinganisha mauaji ya 29th Oct na ajali ya MV Bukoba, na kuamua kuzuia misiba ya kila nyumba kwa kuzuia maiti za watu na kwenda kuzipoteza kusipojulikana ni kitendo cha kishetani sana.

Kwamba gavoo ilihofia wasipozuia maiti za watu wakaruhusu kila familia izike wapendwa wao ingechafua taswira ya nchi wakati ni wao wenyewe ndo wamesababisha?

Hii ni mbaya sana💔💔💔
Yaani kwa ujinga wako ulitaka ajutie kufa wale mashetani waliochoma ambulance 200? wale mbwa waliochoma vituo 600 kwa siku 2 tu magari binafsi 1600 wale mahawani waliosababisha baadhi ya wasio na hatia kupoza maisha , Yaani inatakiwa watafutwe wengine waliopo mtaani wapigwe risasi za kichwa wafe kabla hawajaiona 2026 by any means
 
Fungeni na mahakama zote ili kila mtuhumiwa muwe mnapiga risasi za kichwa
 
Hawa wamejaa viburi kwa kunywa damu za Watanganyika.

Sehemu pekee itakayowafanya kuwa humbled ni ICC. Na safari kwa namna zote tufahakikisha hawachomoki.
 
Back
Top Bottom