Hawakufahamiana Kabisa! Lakini TECNO Iliwakutanisha.

Hawakufahamiana Kabisa! Lakini TECNO Iliwakutanisha.

Tecno imenifukuzisha kazi, ikiwa mfukoni mwa suruali yangu ya blue, imemtumia boss meseji za kumtusi na kumkashifu sana, najuta kwanini haikuisha chaj mapema.🤣
 
Hivi simu zenu latest ni zipi ? Na ipi ni toleo bora kabisa ambalo hata ninyi mnajivunia kwa upekee wake kwenye design yake ?
 
Ahaa iyo nzuri Sana
Moo Click, kama ulitufuatilia ni kwamba tulitangaza kuwa watakaokwenda Blind Date ni wale 'single' pekee. Wengine walipewa zawadi nyingine kama simu, na wengine watapata nafasi ya kupanda Helikopta kulitazama Jiji la Dar es Salaam hapo mwezi Machi.
 
Tecno make up zenu sio. Kwanini hamjampaka make up yenye kuendana na ngozi ya mwili wake.

Dada wa watu kawa kama katuni ya ndege ya ubongo kids.
InShot_20200228_200929155.jpeg
 
Moo Click, kama ulitufuatilia ni kwamba tulitangaza kuwa watakaokwenda Blind Date ni wale 'single' pekee. Wengine walipewa zawadi nyingine kama simu, na wengine watapata nafasi ya kupanda Helikopta kulitazama Jiji la Dar es Salaam hapo mwezi Machi.
Mlijuaje wako single na nyie. Maneno yao wenyewe hayawezi kuwa na ukweli kuwa wako single.
 
Tecno imenifukuzisha kazi, ikiwa mfukoni mwa suruali yangu ya blue, imemtumia boss meseji za kumtusi na kumkashifu sana, najuta kwanini haikuisha chaj mapema.🤣

šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚
 
Hii Tecno Pop 1 huwa zina shida gani au matumizi zinakosewa? Haiwezekani simu ikawa kinara ya kuua Main circuit kiasi hicho.
 
TECNO Tanzania
Nina simu yenu Tecno Camon CX, miezi kadhaa ilopita ilipata crack kidogo but haikua na shida, Tatizo juzi yameanza majanga ya Touch, Mnapatikana wapi hapa Dar niweze kurekebisha hili tatizo?
Pole kwa tatizo la simu yako Abby The Rider, tafadhali tembelea kituo chetu cha matengenezo 'Carlcare Service Center' kilichopo Kariakoo Mtaa wa Msimbazi kinatazamana na kituo cha Polisi Msimbazi. Au unaweza kufika kituo chetu cha Posta mtaa wa Samora jengo la NHC ghorofa M.
 
Back
Top Bottom