Hawakufahamiana Kabisa! Lakini TECNO Iliwakutanisha.

Hivi simu zenu latest ni zipi ? Na ipi ni toleo bora kabisa ambalo hata ninyi mnajivunia kwa upekee wake kwenye design yake ?
Hello Mileage, toleo la simu za TECNO la mwisho kabisa ambalo ni la hivi karibuni ni Camon12 Series ambapo kuna Camon12, Camon12 Air na Camon12 Pro. Matoleo ya simu zetu yote ni bora na tunajivunia kwayo katika design zake.Suala kubwa linabaki kwako tu unapendelea design ipi na mwonekano gani.
 
An LED 6-inch display, 6Gb RAM, 128Gb Internal Storage, 16MP Camera, 3500+ mAh battery na 1440*3120 resolution. Ni toleo gani lina hizi sifa ?
 
asante
 
An LED 6-inch display, 6Gb RAM, 128Gb Internal Storage, 16MP Camera, 3500+ mAh battery na 1440*3120 resolution. Ni toleo gani lina hizi sifa ?

Swali zuri nami nasubiri jibu, ila kwa sifa hizo, battery ingefaa iwe kuanzia 4000+mAh au zaidi
 
An LED 6-inch display, 6Gb RAM, 128Gb Internal Storage, 16MP Camera, 3500+ mAh battery na 1440*3120 resolution. Ni toleo gani lina hizi sifa ?
Duniani hamma Tecno yenye resolution nzuri ya pixels ulizotaja apo.....tecno wameishia FHD sio QHD.

Samsung Galaxy[emoji93]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…