DIZZO MTAWALA
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 240
- 767
Yes Serikali ya CCM imeshindwa kushawishi umma uwe upande wao zaidi wamefanya ukosoaji kama ni matusi. Rejea Spika Ndugai alipotoa maoni wakati mbunge Lema akichangia kwenye mswada wa kumiliki laini moja ya simu anasema mitandaoni wanasemwa wao tu tena matusi.
Cha kujiuliza je kumuambia Job Ndugai kumrudisha Mwambe amevunja katiba ni tusi? Ama kuwakinga wabunge waliofukuzwa uanachama wa chama chao ni kuvunja katiba ni tusi? Ama bunge kufuata maagizo ya nje ya bunge ni tusi.
Miaka mitano wamewazuia wapinzani wao kukua kisiasa vyombo vya habari kuwazungumzia wao kila siku kuwafungulia makesi viongozi wa upinzani kuanzia kata mpaka taifa Leo bado wanapeleka miswada ya sheria ya kulinda uvunjwaji wa katiba waliofanya wa wazi kabisa ktk awamu hii ya tano.
CCM kwa sasa imebaki na dola isiozidi watu laki mbili dhidi ya umma uliozaidi ya watu milioni tano
#2020kataaukandamizanauvunjwajiwakatiba