palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
Kuna njemba m'moja wa karibu kanitonya leo hii asubuhi ya kuwa anajipanga upya kurejesha majeshi..........kwa mzazi mwenzie ambaye ana karibu miaka 5 tangia ampige kibuti..................utetez i wake ni kuwa hawakuachana kwa ubaya na yakuwa mwenzie sasa huo ugali wa ujaji ni mkubwa sana haipendezi akiula pekee yake......................
Jiingine adai ni sababu za kiubinadamu nazo zimemkalia kooni kwa kipindi hivi ya kuwa mwenzie amekuwa akimlilia kwenye simu kila siku ya kuwa aache kumnyanyasa kwa kumpiga kibuti kwa hiyo kumrudia atakuwa kaitika wito na......kumtendea ubinadamu aache kuwa na masimango ambayo kidume anahisi yanamletea tafurani hata yeye.........
lingine anadai haifai jaji aonekane ni kapera wakati mzazi mwenzie yupo ila ni harakati za pimbi tu ndizo zilimtia majaribuni.................... ....
hii ni sahihi kweli???????????.............. .kurudia matapishi yako mwenyewe eti mkate umewiva na tumbo lina wakawaka kwa njaa....................sina uhakika kwenye hilo............Nisaidieni namna ya kumshauri kidume mwenye macheche nguli.......
Kwa kuwa tunatofautiana, kwa kuwa tuna mioyo tofauti. Kwa kuwa huyo mdada kaona hapo ndio mwisho wa mambo yote. Aende kwa amani. Ila mimi@Rutashubanyuma hata urudi na Ghorofa, miaka mitano? Yani hata mmoja nitajiuliza mara 70. Mmmh mwanaume au mwingine, hapana...Nooooooo.
Hapana kabisa labda kama sikukupenda Mwanzo. Yani nikupende nikupe moyo wangu, na damu yako nibebe, na mtoto wako nimlee miaka mitano. Afu uone nimefanikiwa ujilete lete......ha ha ha lazima utakuwa house boy wangu kama nitaamua kukurudisha walahi. Khaa yani miaka mitano?
Aku.....ulizaliwa peke yako au? Kwanza miaka mitano yote hiyo wengine hawajaniona? He he he anatafuta kazi ya house boy huyo. Halafu na huyo dada anajitafutia matatizo tu. WE KIBABA ka hicho unakileta ndani cha nini? SI kitakutesa balaa? Manake atatafuta kusikika hata mahali ambapo hatakiwi kusikika. Ohoooo unanidharau eeh zitakuwa nyingi umo ndani mpaka basi. Mwanaume wa kiafrika au mwingine? Tena usiombe awe mchagga au Mhaya.
LD yawezekaa unayoyasema ni sahihi lakini mwana mpotevu akirudi kundini mpokee.....usilipize kisasi .....mwachie Muumba atajua la kumfanya........labda uwe nawe umeshikwa na mwingine lakini kama bado mpe nafasi ya mwisho nadhani atakuwa kuna kitu kajifunza hapo...............na watu wa namna hii mara nyingine huwa wanakuja kuwa bomba haswa..............
Haya ndo yale nilisema hapa kuwa,jamii ina makengeza kwenye baadhi ya mambo.Ili upate cheo fulani ni lazima uwe na ndoa.Ujinga mkubwa huu.Ndoa ni nini?Eti unapokua na mke unakua na heshima na unajiheshimu,ujinga mwingine huu.Upofu huu sijui utaisha lini?
Kuna njemba m'moja wa karibu kanitonya leo hii asubuhi ya kuwa anajipanga upya kurejesha majeshi..........kwa mzazi mwenzie ambaye ana karibu miaka 5 tangia ampige kibuti..................utetezi wake ni kuwa hawakuachana kwa ubaya na yakuwa mwenzie sasa huo ugali wa ujaji ni mkubwa sana haipendezi akiula pekee yake......................
Jiingine adai ni sababu za kiubinadamu nazo zimemkalia kooni kwa kipindi hivi ya kuwa mwenzie amekuwa akimlilia kwenye simu kila siku ya kuwa aache kumnyanyasa kwa kumpiga kibuti kwa hiyo kumrudia atakuwa kaitika wito na......kumtendea ubinadamu aache kuwa na masimango ambayo kidume anahisi yanamletea tafurani hata yeye.........
lingine anadai haifai jaji aonekane ni kapera wakati mzazi mwenzie yupo ila ni harakati za pimbi tu ndizo zilimtia majaribuni........................
hii ni sahihi kweli???????????...............kurudia matapishi yako mwenyewe eti mkate umewiva na tumbo lina wakawaka kwa njaa....................sina uhakika kwenye hilo............Nisaidieni namna ya kumshauri kidume mwenye macheche nguli.......
anatamani naye akafaidi rushwa kubwa za mamaaaa