Kwa kuwa tunatofautiana, kwa kuwa tuna mioyo tofauti. Kwa kuwa huyo mdada kaona hapo ndio mwisho wa mambo yote. Aende kwa amani. Ila mimi@Rutashubanyuma hata urudi na Ghorofa, miaka mitano? Yani hata mmoja nitajiuliza mara 70. Mmmh mwanaume au mwingine, hapana...Nooooooo.
Hapana kabisa labda kama sikukupenda Mwanzo. Yani nikupende nikupe moyo wangu, na damu yako nibebe, na mtoto wako nimlee miaka mitano. Afu uone nimefanikiwa ujilete lete......ha ha ha lazima utakuwa house boy wangu kama nitaamua kukurudisha walahi. Khaa yani miaka mitano?
Aku.....ulizaliwa peke yako au? Kwanza miaka mitano yote hiyo wengine hawajaniona? He he he anatafuta kazi ya house boy huyo. Halafu na huyo dada anajitafutia matatizo tu. WE KIBABA ka hicho unakileta ndani cha nini? SI kitakutesa balaa? Manake atatafuta kusikika hata mahali ambapo hatakiwi kusikika. Ohoooo unanidharau eeh zitakuwa nyingi umo ndani mpaka basi. Mwanaume wa kiafrika au mwingine? Tena usiombe awe mchagga au Mhaya.