Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #101
kwa hiyo nayo ni ufisadi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamii itaendelea kumthamini mwanamke aliyeolewa kulikoni yule ambaye ni kapera.........it is not fair but it is the reality of the WORLD we are living in........ni ubaguzi .....yes, but what are we gonna do about it?
Sawa tu, ikiwa mungu anasamehe kwanini sisi tusisameheane. Zimwi likujualo halikuli likakwisha, huyo itakuwa pia watoto wa mjini walishamuweza akaona bora arudie old is gold. Mimi sioni shida endapo wenyewe wameridhiana!
Muhanga ...jamii ni jamii tu hata kama imekosea lakini hizo ndizo samani zake.....out of wedlock a woman is less valued...............unfair.......probably yes..............but that is how the society feels...................a man out of wedlock is also shunned ingawaje siyo sana.......
Muhanga........longsightedness is good but shortsightedness is bad..............which way then?