Hawara yangu (mke wa mtu) kameza funguo ya Lodge ili nifumaniwe, niokoeni leo naumbuka!

We jamaa, huna kazi ya kufanya kutunga yooote haya?. Are you paid for this?.
 
Chei chei, shangazi, chei chei shangazi! Chei shangazi!
Tufurahii shangazi! Na hadithi shangazi! CHEI SHANGAZI!!
 
Hadithi yako ingekua tamu kama ungepooza kidogo maneno makali. . Pia mtu hawezi kumeza fungua akawa na uwezo wa kuongea. Badala ya kumeza angetumbukiza chooni au kutupa nje .
 
Jiandae kwa...'week-long-ban mkuu!
 
Hii hadithi hata haijakaa kiuhalisia
 

mods wasipokufungia kwa matusi haya utakuwa umesambaza mlungura
 
Jipigeni picha hapo mlipo then weka hapa nijue jinsi ya kukusaidia
 
huyu jamaa atakuwa team ukawa!!!
 
Ulitoka salama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…