Donyongijape
JF-Expert Member
- May 28, 2010
- 1,497
- 814
We jamaa, huna kazi ya kufanya kutunga yooote haya?. Are you paid for this?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa, huna kazi ya kufanya kutunga yooote haya?. Are you paid for this?.
Mwenye namba ya Shigongo ampe huyu ndugu haraka. Hadithi kama hizi zitafaa sana kwenye Amani, Uwazi, Ijumaa Wikienda etc...
Leo Nakuwa MNYENYEKEVU KULITOKUKA Kwenu Nyote Kwani Hivi Ninavyoandika Huu Uzi Nimejifungia Toilet Ili Huyu Mke Wa Mtu Na Hawara Yangu Asijue Kuwa Nawasiliana Na Nanyi. Kwanza Kabisa Napenda Kuomba Msamaha Kwa Mwenyezi Mungu Kwa Kosa La Kuzini Na Mke Wa Mtu, Pili Napenda Kuomba Msamaha Kwa Mumewe Huyu Dada Ambaye Nahisi Labda Anaweza Akawepo Humu Jamvini Na Tatu Najutia Kutosikia Wakati Mdau Mmoja Humu Wiki Mbili Zilizopita Alipotoa UZI Wa Kutuambia Madhara Ya Kufanya Ngono Na Mke Wa Mtu Na Nakumbuka Ni Mimi Huyu Huyu Niliyempiga Dongo Lile Pendwa La POPOMA Na Leo Yamenikuta.
Kisa Kamili.
Huyu Dada Mke Wa Mtu Kusema Za Ukweli Nimekuwa Nae Kwa Takribani Mwezi Mmoja Sasa ILA Kila Alipokuwa Akija Kwangu Nilikuwa Nikimdanganya Kuwa Nitamfungulia Biashara Kisha Anaamini Halafu ANACHOJOA Pichu NAMKANYAGA Anaenda Zake Kwake Bila Bila Huku Mimi Nikishangilia Kimoyomoyo Kwa Kumuona Bonge La Boya.
Yaani Muda Huu Ninaoandika Huu Uzi Members Huyu Dada Nipo Nae Lodge Moja Hivi Mafichoni Huku Boko Ya Ghorofa 6 Hivi Na Mathematician Kwa Kujiona Mtoto Wa Mjini Nikachukua Chumba Cha Ghorofa Hiyo Hiyo Ya Sita Nikaanza KUMBANDUA Huyu Shori Na Nilipomaliza Tu Cha Kwanza Akanichenjia Na Kuniambia Kuwa Namnukuu " Hivi Gentamycine Ni Kwanini Huwa Unapenda Sana Kunifanya Mimi ----- Nazi Wako? Leo Ni Mara Ya Ngapi UNANIBANDUA Na Tena Leo UMENISUGUA Hasa Hadi Moto Unawaka PAPUCHINI Halafu Hunipi Hata Hela Ya Sabuni? Nimefanya Vibaya Kumtoroka Mume Wangu Na Kuja Kwako? Sasa Nakuambia Kama Uliwachezea Hao Hao VIPAPURE Wako Leo Nakutia Adabu Na Utahadithia Huko Kwenu " Mwisho Wa Kumnukuu.
Alipomaliza Kusema Hayo Nikadhani Labda Ni Hasira Zake Tu Za Ghafla Na Yataisha Kumbe Kamaliza Kusema Hayo Maneno Tu Kaenda Pale Mlangoni Kachomoa Funguo Ya Chumba Na AKAMEZA FUNGUO Na Akainua Simu Yake Na Kuzungumza Na Mumewe Na Maongezi Yenyewe Yalikuwa Hivi:
Hawara: Mambo Mume Wangu?
Mumewe: Salama Tu Vipi Uko Poa?
Hawara: Poa Tu Kiasi
Mumewe: Kwanini Leo Unasema Hivyo?
Hawara: Hivi Mume Wangu Si Unakumbuka Kuna Siku Nilikuambia Kuwa Kuna Mtu Namdai Pesa Zangu?
Mumewe: Ndiyo Mke Wangu Nakumbuka Halafu Leo Nina Shida Ya Hela Kwani Nyumbani Luku Imetuishia.
Hawara: Sasa Yule Mwanaume Baada Ya Kuona Ameshindwa Kunilipa Deni Langu Anataka Kuniua.
Mumewe: Unasema Nini Wewe? Hebu Rudia!
Hawara: Muda Wowote Nakufa Kwani AMENITEKA NYARA Na Sasa Nipo Hotel X Huku Boko.
Mumewe: Amekuteka Nyara? Yaani Anaacha Kukulipa Anataka Kukutoa Roho Mke Wangu.
Hawara: Mume Wangu Wahi Uje Uniokoe Kwani Anakaribia KUNICHINJA.
Mumewe: Usihofu Mke Wangu Ngoja Niwapitie Polisi Tuje.
Hawara: Fanya Upesi Na Sasa Amevua Nguo ANATAKA Kunibaka Kwanza Ndiyo Aniue.
Mumewe: Ebo Unasemaje Wewe? Yaani Hela Akudhulumu Na KUKUBANDUA Anakubandua!
Hawara: Mume Wangu Ngoja Kwanza Ameshaanza Kuniingilia
Mumewe: Keshaingiza Yote au Ndiyo Anajiandaa?
Hawara:...........Kimya............
Mumewe: Baby!..........Baby!..........Mbona Kimya Wewe Vipi UMESHAKUFA?
Hawara: Mume Wangu AMESHANIBAKA Na Nilishindwa Kukujibu Pale Kwani UTAMU Ulinoga
Mumewe: Unasemaje?
Hawara: Hujanisikia Vizuri? Nimekuambia Alitaka Kunibaka Lakini Ameshindwa Na Napambana Nae Bado Wahi Uje.
Mumewe: Basi Kwakuwa Anataka KUKUBAKA Siji Na Polisi Tena Na Sasa Naenda Kuwapitia MASELA Chimboni.
Hawara: Sawa Itakuwa Bora Zaidi Mume Wangu.
Mumewe: Huyo Si Anajifanya Mjanja? Sasa Leo Tunakwenda KUMBIKIRI Na Hapo Hapo Kumbebesha Ujauzito.
Hawara: Ila Mkija Pandeni Huku Ghorofa Ya 6 Mlango X Na Vunjeni Mlango Kwani Katupa Funguo Nje KUNIKOMOA.
Mumewe: Yeye Atupe Funguo au Azimeze Leo Atawasimulia Vijana Wenzake Na Nakuja Na MASELA Wangu 11.
Hayo Juu Ndiyo Yalikuwa Maongezi Yake Na Mumewe Members Na Hivi Sasa Moyo Wangu UNANIENDA MBIO Sana Kwani Sijui Nini Cha Kufanya Ukizingatia Kuwa Sikubeba Hela Nyingi Zaidi Tu Ya Kulipia Chumba Hapa Lodge Kwakuwa Nilijua Ningemchezea Mchezo Ule Ule Wa Kumfanya Dada Wa Watu ( Mke Wa Mtu ) Huyu ----- Nazi Na Kibaya Zaidi Tokea Asubuhi Hadi Mchana Huu Sijala Chochote Na Tupo Huku Juu Kabisa Ghorofa Ya Sita Na Sijui NITAFANYEJE Ndugu Zangu.
Nikisema Niruke Nje Ghorofani Naogopa NITAKUFA Na Nitaikosa JAMII FORUM Kwani Mbinguni Haipo, Haya Nikisema Nivunje Mlango Huu Nikimbie Huyu Bibie Anasema ATANIITIA JAMBAZI au MBAKAJI Na Vile Vile Hata Wenye Hii Lodge Wanaweza Wakanitia Ndani Kwa UHARIBIFU Wa MALI za Lodge Yao.
Na Kama Vile Haitoshi Sasa Hivi Huku Nikiwa Nimejifanya Nipo Toilet Natoa Haja Kubwa Lakini NAMCHUNGULIA Katika Kioo Cha Chooni Naona ANAZITUPA DIRISHANI Nguo Zangu Kwa Maana Hiyo Kuanzia Sasa Mathematician Wenu Nipo Na Suti Ile Ile Ya Mwenyezi Mungu ( Nikimaanisha MTUPU au UCHI ).
Naombeni Msaada Wenu Wa Kiushauri Kwani Mumewe Huyu Hawara Yangu Kapiga Simu Na Kusema Kuwa Sasa Wanakaribia Tegeta Kwa Ndevu Na Ndani Ya Dakika 25 au 30 Watakuwa WAMESHAFIKA Hapa Lodge Hivyo Naombeni Tu MNIOKOE Kwa Hizi Dakika 25 Hadi 30 Zilizobaki Kwani Vinginevyo Leo Naiona JEHANAM Hii Hapa Ukizingatia Na Hivi Nipo UCHI Hawakawii KUNIBADILISHIA KESI Na KUNIITA MCHAWI Kwani Mimi Mwenyewe Ni Mweusi Tii Halafu Nina UTEGE Wa Nguvu, Huku Mbichwa Wangu Ukiwa Mkubwa Utadhani Kipenyo Cha Mabomba Ya DAWASA Na UGOKO Wangu Nao Una VINYWELE NYWELE Huku Balaa Zaidi Likiwa Sehemu Ya Midfield Yangu a.k.a KIUNGO ( Hapa Namaanisha NYETI Zangu Zilipo ) Kwani Kwa Haya MATUNGULI Yangu Mawili ( KENDE ) Zilivyo Pishana Kiukubwa Yaani Kwa Mfano Wakisema Wanisakizie Tu Mimi Ni MCHAWI Hawatakuwa Mbali Na UKWELI Kulingana Na Jinsi Nilivyo Sasa.
Mshukuriwe Nyote Mtakaowezeshesha Mathematician Wenu Gentamycine Niweze Kujiokoa au Kuokoka Na Dhahama au Aibu Hii Kubwa.
Mwenye namba ya Shigongo ampe huyu ndugu haraka. Hadithi kama hizi zitafaa sana kwenye Amani, Uwazi, Ijumaa Wikienda etc...
Ulitoka salama?Leo Nakuwa MNYENYEKEVU KULITOKUKA Kwenu Nyote Kwani Hivi Ninavyoandika Huu Uzi Nimejifungia Toilet Ili Huyu Mke Wa Mtu Na Hawara Yangu Asijue Kuwa Nawasiliana Na Nanyi. Kwanza Kabisa Napenda Kuomba Msamaha Kwa Mwenyezi Mungu Kwa Kosa La Kuzini Na Mke Wa Mtu, Pili Napenda Kuomba Msamaha Kwa Mumewe Huyu Dada Ambaye Nahisi Labda Anaweza Akawepo Humu Jamvini Na Tatu Najutia Kutosikia Wakati Mdau Mmoja Humu Wiki Mbili Zilizopita Alipotoa UZI Wa Kutuambia Madhara Ya Kufanya Ngono Na Mke Wa Mtu Na Nakumbuka Ni Mimi Huyu Huyu Niliyempiga Dongo Lile Pendwa La POPOMA Na Leo Yamenikuta.