ππππhiko chuma chenyewe sasa ππNipo home leo na kifurushi cha decoder kimekata nkasema ngoja niangalie hizi local channels, ghafla nipo ITV nakutana na hicho kipindi. Sikuwahi kujua msemo wa "kula chuma hicho" umeanzia wapi, haki nimecheka sana leo afanalek!.
Hata diamond alianzia hukoππππhiko chuma chenyewe sasa ππ
Hahaaaa!!huyo ndio Mzee zomboko(mzee wa kula chuma hicho)Nipo home leo na kifurushi cha decoder kimekata nkasema ngoja niangalie hizi local channels, ghafla nipo ITV nakutana na hicho kipindi. Sikuwahi kujua msemo wa "kula chuma hicho" umeanzia wapi, haki nimecheka sana leo afanalek!.
Kuna bi dada mmoja aliimba off key ubeti mzima na kibwagizo chake [emoji38][emoji38][emoji38]
Yule mtangazaji nina imani akipelekwa kwenye academy ya mziki hatafanikisha kutoa hata mtu yoyote kwa maoni kama yalehahahahaha, kwanini mkuu?, watu si ndo wanajitafuta pale.