Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀hiko chuma chenyewe sasa 😀😀Nipo home leo na kifurushi cha decoder kimekata nkasema ngoja niangalie hizi local channels, ghafla nipo ITV nakutana na hicho kipindi. Sikuwahi kujua msemo wa "kula chuma hicho" umeanzia wapi, haki nimecheka sana leo afanalek!.
Hata diamond alianzia huko😀😀😀😀hiko chuma chenyewe sasa 😀😀
Hahaaaa!!huyo ndio Mzee zomboko(mzee wa kula chuma hicho)Nipo home leo na kifurushi cha decoder kimekata nkasema ngoja niangalie hizi local channels, ghafla nipo ITV nakutana na hicho kipindi. Sikuwahi kujua msemo wa "kula chuma hicho" umeanzia wapi, haki nimecheka sana leo afanalek!.
Kuna bi dada mmoja aliimba off key ubeti mzima na kibwagizo chake [emoji38][emoji38][emoji38]
Yule mtangazaji nina imani akipelekwa kwenye academy ya mziki hatafanikisha kutoa hata mtu yoyote kwa maoni kama yalehahahahaha, kwanini mkuu?, watu si ndo wanajitafuta pale.