Jamaa ana uwezo mkubwa ingawa hatajwi sana.Aaah kumbe, hiki kibao kinanikumbusha enzi za utoto wangu nikiwa na bro wangu kwenye landrover 110 ameweka tape imejaa ngoma za raggae ambazo mpaka leo natamani zipata lakn sijui aliimba nani na zinaitwaje. Ila ni ngoma ambayo naipenda sana.
Kuna ile ya "cherry oh cherry oh baby"...UB 40 waliirudia wakapata nayo umaarufu sana.Umenikumbusha trafic light.....
take a ride in a mini bus
Destination kingston, kingston
Sudden we come to a stop
Then i look around.....
Old good days