Hawavumi: Msanii Marioo ni kwa sababu hayupo WCB?

Hawavumi: Msanii Marioo ni kwa sababu hayupo WCB?

Decree Holder

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
2,559
Reaction score
3,745
Ndugu wanajamvi mimi binafsi huwa nashangaa sana inawezekanaje msanii Marioo ambaye kwa sasa ameachia wimbo wake unaokwenda kwa jina la YALE hafanyi vizuri ukilinganisha na kipaji chake alichonacho?
Nimekaa nikawaza hivi huu wimbo ingekuwa umeimbwa na msanii yeyote wa WCB lavalava au mbosso ungekuwa na viewers wengi sana na ungekuwa umesambaa sehemu mbali mbali nchini
 
tatizo si kazi uliyopo nayo bali jinsi ya kulijenga jina hata ukiimba ugali na dagaa utavuma
 
tatizo si kazi uliyopo nayo bali jinsi ya kulijenga jina hata ukiimba ugali na dagaa utavuma
Toa ushauri vijana kama hawa wafanyeje maana wanajituma lakini wanatoka bilabila
 
WCB wana advantage kubwa sana sababu wameishika social network mapema.. wakati kina marlow wamelala diamond alikuwa anafungua account social network zote plus insta na akaweka masharti kila staff wa wcb awe na account mitandaoni.. hapo hapo hakuridhika akaunda jeshi la mtandaoni.. timu diamond wapo kama mia moja hivi..

ndio maana wcb wakitoa wimbo kila mtu anapost hadi unakasirika.. watu wenye nguvu social network asilimia kubwa ni timu diamond..

so hata kama hutaki kusapoti utaona kila sehemu hadi unajikuta unaenda youtube kuona ukoje..

hawa kina marlo wana mashabiki wa kawaida.. diamond ana mashabiki hadi wakifa tu nchi nzima inajua shabiki wa wcb kafariki
 
Hili wazo inatakiwa wasanii wengine walichukue
 
Kama mziki haumlipi atafute kazi ya maana.
 
dogo anajua sana kuimba Huyo "" tatizo hajaenda kwa mganga...kupigwa chale "" ingekuwa amefnya hivyo wakati dar ingekuwa haitoshi "" Dada zetu wote beki zingekuwa hazikabi kwa jamaa
Hahaha kumbe do
 
Kujua kuimba ni moja kujua mashabiki wanataka nini ni mbili lazima ujue unaimba hili nani asikilize...barnaba,rama dee,ben pol wanaimba sana pengine kupita diamond na kiba..sasa daimond anajua mashabiki wanataka nini wakati ali kiba anatembelea nyota ya maadui wa diamond yaani saivi team zari,team wema na wengine wasio nataka matako ya daimond yalie mbwata wakati wanajua kabisa alikuwa maskini na amepata...
 
Huyo dogo ana back up kubwa ya CMG na kuna nyimbo kamtungia Nandy na pambe Cristian Bella,ukiona hivyo nyimbo haijahiti jua ni mbovu pamoja na mbeleko zote za CMG,ila nyimbo yake ya Dar kugumu nzuri.
hii ngoma ni kali sema hajaikikisha inavyotakiwa ye kaipeleka kimya kimya oama underground tu, jamaa hana hata skendo ya uzushi labda anatoka na wema au wolper angekuwa nazo zingeupush mziki wake kiaina trust me.
 
Sizani kiki ndio inayomfanya msanii awe juu (Refer hamorapa ),dogo ana back up na promo kubwa sana CMG,mbona aslay,Darrasa hawana kiki na nyimbo zao zinatembea kama kawa,ukiona hivyo hiyo nyimbo ya yule sio nzuri labda tusubiri nyingine,lkn dogo sapoti anayo.
 
Ile ngoma yake ya Dar kugumu imepata kibali cha kua kwenye playlist yangu ni bonge moja la ngoma,hii ndio nasikia leo ngoja nijiridhishe baadae nikitulia.
 
Yap huyo dogo ngoma zake 2 alizotoa ni kali sema, na promo anapewa na CMG, hata Wasafi TV jana nimeona wanacheza wimbo wake mpya sema nyota ndo inagoma
 
Katika nyimbo zinazonishangaza kushindwa kuhit ni huu wa Mensen, kwangu mimi tangu mwakahuu uanze hakuna wimbo wa kuuzidi huu, nawashauri wasanii mumuulizage Diamond mbinu anazotumia kama anamganga wake kule Kigoma awapeleke[emoji16], wimbo kama huu unashindwaje kuwa na views Milioni 10? Kama M10 haiwezekani basi hata Mil 1 ishindikane kweli?[emoji51]
 
Back
Top Bottom