Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
tatizo si kazi uliyopo nayo bali jinsi ya kulijenga jina hata ukiimba ugali na dagaa utavumaNdugu wanajamvi mimi binafsi huwa nashangaa sana inawezekanaje msanii Marioo ambaye kwa sasa ameachia wimbo wake unaokwenda kwa jina la YALE hafanyi vizuri ukilinganisha na kipaji chake alichonacho?
Nimekaa nikawaza hivi huu wimbo ingekuwa umeimbwa na msanii yeyote wa WCB lavalava au mbosso ungekuwa na viewers wengi sana na ungekuwa umesambaa sehemu mbali mbali nchini
Toa ushauri vijana kama hawa wafanyeje maana wanajituma lakini wanatoka bilabilatatizo si kazi uliyopo nayo bali jinsi ya kulijenga jina hata ukiimba ugali na dagaa utavuma
Hili wazo inatakiwa wasanii wengine walichukueWCB wana advantage kubwa sana sababu wameishika social network mapema.. wakati kina marlow wamelala diamond alikuwa anafungua account social network zote plus insta na akaweka masharti kila staff wa wcb awe na account mitandaoni.. hapo hapo hakuridhika akaunda jeshi la mtandaoni.. timu diamond wapo kama mia moja hivi..
ndio maana wcb wakitoa wimbo kila mtu anapost hadi unakasirika.. watu wenye nguvu social network asilimia kubwa ni timu diamond..
so hata kama hutaki kusapoti utaona kila sehemu hadi unajikuta unaenda youtube kuona ukoje..
hawa kina marlo wana mashabiki wa kawaida.. diamond ana mashabiki hadi wakifa tu nchi nzima inajua shabiki wa wcb kafariki
Hahaha kumbe dodogo anajua sana kuimba Huyo "" tatizo hajaenda kwa mganga...kupigwa chale "" ingekuwa amefnya hivyo wakati dar ingekuwa haitoshi "" Dada zetu wote beki zingekuwa hazikabi kwa jamaa
ndio hivyo mkuu..ukipigwa chale then ukapata management ya maana ..mjini lazima watakukomaHahaha kumbe do
hii ngoma ni kali sema hajaikikisha inavyotakiwa ye kaipeleka kimya kimya oama underground tu, jamaa hana hata skendo ya uzushi labda anatoka na wema au wolper angekuwa nazo zingeupush mziki wake kiaina trust me.Huyo dogo ana back up kubwa ya CMG na kuna nyimbo kamtungia Nandy na pambe Cristian Bella,ukiona hivyo nyimbo haijahiti jua ni mbovu pamoja na mbeleko zote za CMG,ila nyimbo yake ya Dar kugumu nzuri.
Sizani kiki ndio inayomfanya msanii awe juu (Refer hamorapa ),dogo ana back up na promo kubwa sana CMG,mbona aslay,Darrasa hawana kiki na nyimbo zao zinatembea kama kawa,ukiona hivyo hiyo nyimbo ya yule sio nzuri labda tusubiri nyingine,lkn dogo sapoti anayo.hii ngoma ni kali sema hajaikikisha inavyotakiwa ye kaipeleka kimya kimya oama underground tu, jamaa hana hata skendo ya uzushi labda anatoka na wema au wolper angekuwa nazo zingeupush mziki wake kiaina trust me.