Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
- Thread starter
-
- #21
Hahaha kuna mdau hapo juu kusema dogo amekosa mganga tuKatika nyimbo zinazonishangaza kushindwa kuhit ni huu wa Mensen, kwangu mimi tangu mwakahuu uanze hakuna wimbo wa kuuzidi huu, nawashauri wasanii mumuulizage Diamond mbinu anazotumia kama anamganga wake kule Kigoma awapeleke[emoji16], wimbo kama huu unashindwaje kuwa na views Milioni 10? Kama M10 haiwezekani basi hata Mil 1 ishindikane kweli?[emoji51]
Siku hizi at least anavuma vumadogo anajua sana kuimba Huyo "" tatizo hajaenda kwa mganga...kupigwa chale "" ingekuwa amefnya hivyo wakati dar ingekuwa haitoshi "" Dada zetu wote beki zingekuwa hazikabi kwa jamaa
Atakuwa kashapata mganga?dogo anajua sana kuimba Huyo "" tatizo hajaenda kwa mganga...kupigwa chale "" ingekuwa amefnya hivyo wakati dar ingekuwa haitoshi "" Dada zetu wote beki zingekuwa hazikabi kwa jamaa
Bado lakini nyota inamtesa imagine kakosa tuzoMrejesho, ameshavuma kumbe lilikuwa swala la muda tu
Sijapenda alivokosa ,mbona mtaani nyimbo zake zinapigwa sana au sio kigezo?[emoji16]Bado lakini nyota inamtesa imagine kakosa tuzo
Nyimbo mbovu zote hawezi toboa huyo, huwa mnampa kichwa tuu , tofauti na chibonge mi mwenyewe siajwah mwelewa hitsong nyingine, kulia lia tuu mwanzo mwishoSijapenda alivokosa ,mbona mtaani nyimbo zake zinapigwa sana au sio kigezo?[emoji16]