Hawezi fanya mapenzi bila kupaka mafuta

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
Habarini wana Jamvi.

Ninaomba msaada juu ya hili.

Nina mpenzi wangu uke wake huwa mkavu sanaa hata umfanye nini hatokwi na ule ute ute.

Na mkitaka kufanya mapenzi uume hauingii mpaka utumie lubricant.

Some times naona kama namuumiza vile.

Hata yeye hafurahii kabisa hali hii.

Je tatizo hili hutokana na nini?

Msaada wowote wa kitabibu wadau.
 
Ana umri gani? Inawezekana ni menopause, Ana aina yoyote ya allergy? Anakupenda? Anasumbuliwa na stress, anxiety au physiological issues? Tuanzie hapo mkuu.
 
Mkuu kama kuna garage karibu yako mpeleke fundi anaweza kugundua tatizo lake inawezekana oil imeisha
 
Najiandaa kusoma kutokea hapa,wajuzi njooni huku kuna mtu oil inakata kabisa hapa.

"Nlikuwepo":bolt:
 
hilo tatizo ni la kidaktari zaidi so ungehamisha jf dokta, ungesaidiwa kiuzuri!.......pia labda uniambie kama huwa unamuandaa mpenzi wako, unatumia njia zipi na kwa mda gani?........nitakusaidia ila hapo nitaanzia......so tiririka mkuu maana kumuanda mtoto wa kike kunahitaji ushirikiano wa pamoja!
 
we ndo ulianza nae mkuu?kama sio alietangulia ilikuaje?
 
Mhhhhh,

Duniani kuna matatizo ya kutisha....

Ndugu yangu matatiz, twende zetu JF doctor ili tukuulize vizuri utupe historia ya mgonjwa..... Hii ni hatua muhimu sana katika harakati za kutafuta tiba ya mgonjwa..

Ila pia ungetusaidia kama ungetueleza ni lini mdau wako alianza kupatwa na kiagazi...!
 
Last edited by a moderator:
we ndo ulianza nae mkuu?kama sio alietangulia ilikuaje?

Sasa atajuaje habari za mtangulizi wake??

Sometimes tunauliza maswali ambayo yanaweza kumfanya mtu apate kichaa!
 
Sasa atajuaje habari za mtangulizi wake??

Sometimes tunauliza maswali ambayo yanaweza kumfanya mtu apate kichaa!

lengo hasa ni kujua je ni tatizo la muda mrefu/kudumu au limetokea wakati wake tu
 
Mwambie anywe lita 30 za mafuta ya alizabeti ndani ya siku moja tatzo kwisha
 
We una wanawake wangapi,!!!hana hisia na weweee huyo
 
Usisumbuke kijana mwenzangu akikisha kila siku mfukoni mwako hukosi baby care gm 25 tu wewe kazi yako unapaka kwenye twangio lako unaizungushiya hapokazi itaendeleya kama kawa
 
Ana umri gani? Inawezekana ni menopause, Ana aina yoyote ya allergy? Anakupenda? Anasumbuliwa na stress, anxiety au physiological issues? Tuanzie hapo mkuu.
Ana 24 now. Hana tatizo la alergy yoyote. Yah ananipenda. Stress za kawada tu kwani ndio ameanza kazi hivi karibuni so hajaizoea kivile. Nisaidie mkuu.
 
Hebu mlete nimfanyie utafiti ndani siku tatu nitakupajibu...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…