ankol
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 2,355
- 4,260
Habarini wana Jamvi.
Ninaomba msaada juu ya hili.
Nina mpenzi wangu uke wake huwa mkavu sanaa hata umfanye nini hatokwi na ule ute ute.
Na mkitaka kufanya mapenzi uume hauingii mpaka utumie lubricant.
Some times naona kama namuumiza vile.
Hata yeye hafurahii kabisa hali hii.
Je tatizo hili hutokana na nini?
Msaada wowote wa kitabibu wadau.