Hawezi fanya mapenzi bila kupaka mafuta


....saafi sana kaka, endelea hivyo hivyo kwakuwa unamjali.
Usiwasikize hawa kina King'asti.
Kila mtu na starehe yake banaaa


#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
Mwambie ale ndizi za kupika sana,matikiti maji, matango na maharage.
 
Njia za kisasa za uzazi wa mpango wkt mwingine huchangia huo ukavu.
 
Hahahaa niagara falls ndo nini?hapo naona ni tatizo la hormony disorders na pia kuna uwezekano mpenzi wako alipataga STIs(mfano UTI-Usikate tamaa ongea nae buni MIKAO YA HIARI
 
Hahahaa niagara falls ndo nini?hapo naona ni tatizo la hormony disorders na pia kuna uwezekano mpenzi wako alipataga STIs(mfano UTI-Usikate tamaa ongea nae buni MIKAO YA HIARI

....lol, akimjulia maeneo "huru" aka enorgeous zones atakuja na malalamiko ya #NiagaraFalls kuzidi kiwango..


#MosKwito !
 
Wachangiaji walioshauri mlenda na mabamia nawaza nikawa pa walau nafasi ya kuingia majaribuni. Asali mbichi, Maji ya kunywa awe anapata walau lita 3 kwa siku. Mlonge nao unasaidia.
Na la msingi zaidi ni ku spend nae mda wa kutosha kumsaidia kuondoa stress za kazini na uchovu poa. Kuwa msikilizaji wake zaidi esp anapotaka kuongea. Women have a tendency to be confident when you lend them a listening ear.
Try out and come back
 
Ahsante mdau. Ila huo mlonge ndio nnini hasa.
 
jaman mbona wengine ushauri zenu sio jaman mana wengine oo alizeti lita therathin za nn hebu mtien moyo mwenzenu kwastail hi tutashindwa kuomba ushaur
 
Tumia mafuta yanaitwa latex jelly yatafanya kitu kuwa lain! Kabisa na mpin utapita kwa uzur zaid bla kukwama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…