Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habarini wana Jamvi.
Ninaomba msaada juu ya hili.
Nina mpenzi wangu uke wake huwa mkavu sanaa hata umfanye nini hatokwi na ule ute ute.
Na mkitaka kufanya mapenzi uume hauingii mpaka utumie lubricant. Some times naona kama namuumiza vile.
Hata yeye hafurahii kabisa hali hii.
Je tatizo hili hutokana na nini?
Msaada wowote wa kitabibu wadau.
Hehehe, ngoja wanaojua kuchimbua maji jangwani wagundue. Utaula,wa chuya kwa uvivu wa kuchambua.
Mkuu kama kuna garage karibu yako mpeleke fundi anaweza kugundua tatizo lake inawezekana oil imeisha
Hahahaa niagara falls ndo nini?hapo naona ni tatizo la hormony disorders na pia kuna uwezekano mpenzi wako alipataga STIs(mfano UTI-Usikate tamaa ongea nae buni MIKAO YA HIARI
Ahsante mdau. Ila huo mlonge ndio nnini hasa.Wachangiaji walioshauri mlenda na mabamia nawaza nikawa pa walau nafasi ya kuingia majaribuni. Asali mbichi, Maji ya kunywa awe anapata walau lita 3 kwa siku. Mlonge nao unasaidia.
Na la msingi zaidi ni ku spend nae mda wa kutosha kumsaidia kuondoa stress za kazini na uchovu poa. Kuwa msikilizaji wake zaidi esp anapotaka kuongea. Women have a tendency to be confident when you lend them a listening ear.
Try out and come back
Ahsante mdau. Ila huo mlonge ndio nnini hasa.
.Nenda dawasco ukalipe bili upate maji bwerere
Dalili ya ukame........anza kupanda miti na utunze mazingira