Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,351
Kwa hiyo unaishi kimgongo mgongo yaani full usanii, ukimwaga mboga namwaga ugali. Hii ni asili ya maisha ya kisasi endapo utagundua umesalitiwa badala ya kusamehe.Mim bado nipo sana 2! Msimamo ninao mwelekeo ninao.. Ila m2 akileta maigizo nami namletea usanii vile vile... Mtu unatakiwa kuwa mguu ndani na nje pia.
Saa zingine haka kabinti kana matatizo hakajui kutofautisha mambo na mahali pa kuyawekahebu kua mtu mzima sometomes ,pliiz naomba usinitafutie ban ka ulivomfanyia Mwita25
So long as wewe utakuwepo itakua ni dream life kwanguKweli? Hebu jaribu uone, njoo ufue nguo na majani ya mpapai kama ndio sabuni huku unapiga mswaki na mkaa kama ndio toothpaste. Asubuhi unawahi kuamka saa 11 kasoro kwenda kisimani kilomita 3 toka home, kusafisha nyumba na kusafisha watoto 4 tulionao ambao wote wako primary mkubwa darasa la 5 na mdogo la 3, kisha unawahi shamba fasta, saa ya kurudi shamba unakuja na mzigo wa kuni na kisamvu unakitwanga unapika ugali ndio tunakula na tukienda kulala haki yangu kama kawaida......., hamna maswali wala umechoka sijui nini
Sina kipato, ila huyo mngine sio option kwangu kabisa, hivo bora nijiendee na sokwe...Labda kwa sababu una kipato lakini vinginevyo ungekubali hata kuwa mke wa pili tehe tehe tehe.
Wahasibu mnawaonea jamani! Hivi kuwa mhasibu ni ishara ya kuwa na fedha? Kuhusu hilo la kina dada msiwaonee, hata wanaume siku hizi hawaoi wanawake bali wanaoa kilicho ndani ya wanawake. Mtazamo wa kimapenzi umebadilika sana tofauti na zamani. Wanawake nao hawataki wanaume wenye kipato cha chini na wanaume nao hawataki wanawake wasio na kipato hivyo mimi naon hapo pana conflict of interest.
Mim bado nipo sana 2! Msimamo ninao mwelekeo ninao.. Ila m2 akileta maigizo nami namletea usanii vile vile... Mtu unatakiwa kuwa mguu ndani na nje pia.
hapo huatoa.manake niwachache sana kaka.na sisi tukitaka kuoa basi tutafute mwanamke mwenye msimamo wa maisha!
Hamueleweki, tamaa mbele. you want ready made!Rudi kajipange upya, essay yako umeichanganya!
Hamueleweki, tamaa mbele. you want ready made!
Msimamo wa maisha au mwelekeo wa maisha?
leo hii kwa sababu vijana ndio waoaji wanalalamika lakini kesho hao hao vijana wakiwa wababa na mabinti zao wakitaka kuolewa wakileta mtu hohehahe utaona baba anakasirika anataka mwanae alete mtu wa maana so sio kwa wanawake tu hata kwa jamii nzima inahusika. hakuna mtu anayetaka mtoto wake aolewe na hohehahe. habari ndio hiyo.