Kweli? Hebu jaribu uone, njoo ufue nguo na majani ya mpapai kama ndio sabuni huku unapiga mswaki na mkaa kama ndio toothpaste. Asubuhi unawahi kuamka saa 11 kasoro kwenda kisimani kilomita 3 toka home, kusafisha nyumba na kusafisha watoto 4 tulionao ambao wote wako primary mkubwa darasa la 5 na mdogo la 3, kisha unawahi shamba fasta, saa ya kurudi shamba unakuja na mzigo wa kuni na kisamvu unakitwanga unapika ugali ndio tunakula na tukienda kulala haki yangu kama kawaida......., hamna maswali wala umechoka sijui nini