Hawli ya Mufti Sheikh Hassan bin Ameir Nyumbani Kwake Magomeni Dar es Salaam

Zemanda,
Usiwajumuishe watu wengine kwa lugha ya wingi.

Naeleweka sana na vitabu vyangu vinapendwa sana.

Izungumzie nafsi yako.

Waasisi wa African Association walikuwa tisa na kati ya hao sita Waislamu.

Sababu ya hali hii ni kuwa Wakristo walikuwa wanaonywa wasijiingize katika siasa.

Haya kaeleza Kleist Sykes katika mswada wa kitabu cha maisha yake alichoandika kabla hajafariki mwaka 1949.

Hawa Waislamu katika African Association baada ya kuunda AA 1929 mwaka wa 1933 wakaasisi chama kingine Al Jamiatul Islammiya fi Tanganyika (Umoja wa Waislamu wa Tanganyika).

Hayo maswali yako yote nishayajibu:


View: https://youtu.be/5g_DMWsh_uE?si=efweuiGmZoGMy1gJ
 
HAWLI ndio nini?! Wengine hatujafika huko tandamti, nyamwezi, mtoro na kichangani.. uwe unandika kiswahili jumuishi
Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…