haya ajira hizooo za kumwaga

sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
serikali itaanza kuajiri walimu mwishoni mwa mwzi huu,jumla ya watakaoajiriwa ni elfu ishirini,source TBC
 
Habar ya saangapi? Alafu ni mtawala gani kasema?
 
tumeisha choka hizo ahadi, waache kuzingua watu hapa.
 
serikali itaanza kuajiri walimu mwishoni mwa mwzi huu,jumla ya watakaoajiriwa ni elfu ishirini,source TBC

Elfu ishirini unaona nyingiiiii!!. Unajua kuna walimu wangapi wanaoingoja hiyo ajira? Ninashawishika kuamini kwamba hiyo namba ya walimu watakao ajiriwa ni kidogo mno na wengi wataendelea kubaki mtaani bila ajira.
 
mkoa wa dsm zitakuwepo?

Kwa mujibu wa bwana Mulugo wilaya zote za Dar hakuna hata Mwl aliepangiwa kwa maana hyo amesema lazima walimu waende vijijini sana ambako ndiko kunamahitaji ya walimu zaidi
 
Na iwe hivyo, Vijana wapate ajira, wadogo zetu wakaelimishwe
 
Elfu ishirini unaona nyingiiiii!!. Unajua kuna walimu wangapi wanaoingoja hiyo ajira? Ninashawishika kuamini kwamba hiyo namba ya walimu watakao ajiriwa ni kidogo mno na wengi wataendelea kubaki mtaani bila ajira.
Ni kweli maana hapo kuna certificate,diploma na degree holders,ila nlisikia ki2 kama,Fifty fifty kwa primary na sec
 
KWANI SIYO HUYUHUYU KAAHIDI TAR 15 nov 2011? AU! OK, WE'RE KEEPING IT IN TOURCH!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…