Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
serikali itaanza kuajiri walimu mwishoni mwa mwzi huu,jumla ya watakaoajiriwa ni elfu ishirini,source TBC
mkoa wa dsm zitakuwepo?
Naibu waziri wa elimuHabar ya saangapi? Alafu ni mtawala gani kasema?
Ni kweli maana hapo kuna certificate,diploma na degree holders,ila nlisikia ki2 kama,Fifty fifty kwa primary na secElfu ishirini unaona nyingiiiii!!. Unajua kuna walimu wangapi wanaoingoja hiyo ajira? Ninashawishika kuamini kwamba hiyo namba ya walimu watakao ajiriwa ni kidogo mno na wengi wataendelea kubaki mtaani bila ajira.