Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Lakini mbona Kagera ni mkoa maskini zaidi tanzania licha ya ardhi nzuri sana na wasomi wote hao?
 
Ahaa wahaya ni mikwara tuu mambo yote mnyamwezi na ukitaka kujua hilo waulize wazungu kuhusu akina prof.lipumba,kapuya, kambaya, mauga,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] professor lipumba



[emoji817]
 
Hahahaa duh haya bana...
 
 
Nakubaliana na wewe 100% kuhusu weledi wa kabila la wahaya. Lakini umesahau moja kuwa kabila hili pia linatoa "The most professional sex workers" katika nchi hii na majirani. Hebu tuwekee na majina yao!
 
Lakini mbona Kagera ni mkoa maskini zaidi tanzania licha ya ardhi nzuri sana na wasomi wote hao?
Matajir.weng sio.wasomi..jarbu fanya.utafit.na.hilo pia


Wasomi wengi huwatumikia matajir,napo sema.wasomi.nazan.waelewa.
Bili get aliacha chuo
Steve job
Jamaa wa fb
Pdidy
Kanye west nk
But ili kuendeleza milad yao ktk ufanisi zaid huwa wana.ajir wasomi

So.usomi sio direct proportional na utajili

Wenzentu.hufanya.kitu kile rohoo inapenda, waweza kukuta mtt wa bilget badala ya.kurith mali za.baba awe tajir ila anasomea kumwagilia mchicha

Tatizo letu tunazan kuwa mtu alie soma lazima awe tajir

Nope

Na.ndio mana hapo kuna tofaut kubwa ya wachaga na wahaya

Huwa napenda kufananisha haya.makabila.coz kila.akisifiwa muhaya watu wanaongoza kuwapinga.n.watu.wa kaskazin maana.daima wao wanataka waonekane wapo juu kwa kila.kitu..

Ila.wakubali.wakatae jamaa wahaya.n watabe.class..ila.wachaga watafutaje aisee

Kuhusu wasomi wengi.nchini..hiyo inajulikana wahaya,wachaga na.wanyakyusa..ila wenye brain wahaya na wenye maendelea wachaga...hilo.halipingingi..nenda coet udsm.fanya sensa..jamaa hawa n.hatar


Anyway hata ss vikabila vyetu vidogo twaja kwa kasi....twapambana
 
The thread serves no purpose but to propagate sectarian chauvinism and purported superiority that never exists. It is total carelessness, utter stupidity in total disregard of tranquility that exists among Tanzanians.
 
Pia:
1. Wahaya, wanaume kwa wanawake ndio kabila malaya kuliko kabila lingine Tanzania nzima

2. Wahaya ndio walioingiza ukimwi hapa nchini 1981, mtu wa kwanza kuugua ukimwi alikuwa ni mhaya aliyejulikana kwa jina la Juliana, na ukimwi ulitambulika kwa jina hilo kwa miaka kadhaa iliyofuata hapa nchini.

3. Wahaya, sio kwamba wana akili, ila wameona umuhimu wa elimu kwa sababu ilifika huko mapema kwa njia ya ukoloni.

4. Wahaya hubebana na kupendeleana zaidi kuliko makabila mengine, wakifuatiwa na wachagga.

5. Wahaya hawana akili za asili ila hutumia nguvu nyingi sana kusoma, kama vile kukesha wakisoma and so on, ili mradi tu wavunje rekodi.

6. Wahaya ndio kabila linalopenda sifa zaidi kuliko kabila jingine lolote nchini.

7. Wahaya ndio kabila la kwanza kuuza na kunua ****

8. Wahaya walikufa sana kwa ukimwi kwa sababu ngono zao wanafanya hadi katika level ya familia, yaani kaka na dada, mama na mtoto, baba na mtoto. Kuna familia zilizoteketea mazima.

9. Wahaya pia ndio kabila linaloibukia kwa utapeli hivi sasa.
 
10. Wahaya kwa kupenda sifa, sasa wametangaza miaka mitano ijayo Bukoba inakuwa kama Dubai.
 
Its true hawa jamaa ni wazur sana class sema changamoto yao ndo hiyo wanapenda sana ukabila na kujisifia
 
Nakuunga mkono
 
Ameandika

9. SIR GEORGE KAHAMA, the only sir in africa , alitoa ushauri positive kwa malikia akampa u sir

1. George Kahama hajawahi kuwa knighted (kupewa u Sir) na malkia wa Uningereza. Alipewa U Sir wa vijiweni tu.
2. Kuna waafrika walipewa u sir wa kweli kina Sir Seretse Khama see Seretse Khama - Wikipedia
3. Kuna mtanzania amewahi kuwa knighted na malkia lakini hawezi kutumia designation ya Sir kutokana na mabadiliko katika titular nomenlature za British Kingdom. Ona Andy Chande - Wikipedia
He was made an Honorary Knight Commander of the Most Excellent Order of the British Empire on 29 August 2003, the first of its kind given to a Tanzanian citizen.



Wahaya acheni kupenda sifa.
 
Reactions: SMU
Kati ya watanzania wa4 mmojawao ni kichaa[emoji817] [emoji818] [emoji818]
 
Wahaya wako vizuri upstairs ni kweli lakini pili wao kupenda sana elimu na kuona daftari na ubao ndio kila kitu maishani ndiko kunafanya kuwe na wahaya doctors na professors wengi. Watu wa kabila nyingine wakishapata first degree au wakishapata mtaji wa kufanya shughuli fulani na knowledge akawa nayo basi huacha shule na kujishughulisha na hicho kitu.

Ila kitu pekee kinachonishangaza kwa wasomi hawa wa kihaya ni kule kwao kukusahau na kuwa kwenye rindi la umaskini.. Sasa sijui elimu yao huwa inawasaidia kwa kipi zaidi ya kelele wakati jamii yao inahangamia.. Wahaya lazima ifike mahali muone daftari na ubao si kila kitu maishani.. Pia mjifunze kuendeleza kwenu

 
Hii ni moja kati ya mada za hovyo zaidi kuwahi kuandikwa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…