Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Temeke Sudan, sokota, kata 14 pia buguruni na mwananyamala karibu na hospitali
 
Hawa jamaa ni hatari kwa fitina. Inawezekana fitna inahusiana na uwezo wa kufikiri kwa haraka kudhibiti wengine. Juzi juzi kuna ripoti ilitoka ikionesha kwamba, Kagera ni miongoni mwa mikoa maskini nchini Tanzania. Inawezekana kiwango cha umaskini huongezeka kuendana na ongezeko la akili. Kiwango cha ujinga huongeza ukame kama ilivyo kwa Dodoma. Pamoja na ukame, bado Dodoma inazidiwa umaskini na mkoa wa Kagera. Hii ina maanisha kwamba watu wa Dodoma wana kiwango kikubwa cha ujinga.
 
Choo chao na wageni wao kilichopo Muleba Bus Stand
 

Attachments

  • 1477927375583.jpg
    69.1 KB · Views: 77
Kukiwa na lecturers wa kihaya wengi chuoni-huwabeba wanafunzi wa kwao ili wabaki kuwa malecturers

Vivyo hivyo wanavyofanya wale wa Arusha likewise Mbeya line.

Nenda Muhimbili Chuoni, Nenda Muhimbili Hospital e.t.c
 
Wewe ni Pimbi tuuu na utaendelea kuwa Pimbi. Jaribu kufanya maisha yako yawe mazuri na sio kuwaza ukabila mala Mchaga, Mhaya, mnyakyusa
Na kwa sisi tuliozaliwa apa mjini atushobokei maswala ya ukabila apa.
 
Kwa sababu, mtu anayezungumzia ishu ya ukabila Itafikia kipindi fulani itawatafuna sana watu ambao awaishi apa Dar es salaam Tanzania. Maana karibia Headquarters za maofisi yote ni apa Dar es salaam Tanzania. Na watu wengi wanaopata kazi, wengi karibia asilimia 99% ni wazaliwa wa apa Dar es salaam Tanzania. Watu ambao ni mchanganyiko wa makabila yote. Na ndio maana watu wengi wanapeana michongo ya kazi kama ni mzawa wa apa Dar es salaam Tanzania, maana watu wengi wasiokuwa wa apa Dar es salaam Tanzania wanakuwa na mawazo ya ukabila. Ukija apa Dar es salaam Tanzania ukiona watu wengi wanavyojichanganya katika kila sectors izo ishu za ukabila mbona utaona azina nafasi kabisa katika maisha
 
Usidanganye wenzako. Kwa vile kabila lako mmejazana Dar es Salaam unadhani ni makabila yote. Mtu yoyote anayeandika 'apa' badala ya 'hapa' ujue ni Mhaya tu. Kwa sababu nyie ndiyo waalimu vyuo vikuu, mmewafundisha watanzania wengi kuandika mambo mengi kwa makosa. Utaona wanaandika 'abari' badala ya 'habari'. Wachaga nao wameharibu watoto wetu. Sasa hivi utasikia kila mahali wanasema 'wamama' badala ya akina 'mama', 'wadada', na 'wakaka' badala ya 'akina dada' na 'akina kaka'. Mwalimu Nyerere njoo uone uozo wa lugha adhimu ya kiswahili ilivyovurugwa na ukabila ulioukataa kila mara.
 
Hahaha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] kijiwe cha msengenyo
 
The most intelligent people ni Africa followed by Kikuyu in Kenya
 


1000% nakupa heko!
 
1000% nakupa heko!
Kitu ninachowashangaa mnaowapiga vita Wahaya ni kimoja ...
Kuwa makini kichwani sio kumiliki mali ...
Galileo alikuwa na nini?
Newton alikuwa na nini?
Yesu Kristo alikuwa na nini?
Watu hawa (Wahaya) wana uelewa wa hali ya juu na wanaamini zaidi mawazo zaidi ya vitu. Mwenye kukupa mawazo mazuri ni mkubwa zaidi ya mwenye kukupa kitu halisi. Ila wengi wa wachangiaji wa humu walishakariri kwamba Wahaya ni wabaya - ok! Ila kukaririshwa ni sawa na kupumbazwa! Pingeni kwa hoja sio kupost utumbo!
Mfano tukiwaongea watu wa Mara (Wakurya) - umiliki wao wa mali ni kwa sababu ya ushujaa wao - ni vinara kwenye ushujaa na hiyo haipingiki.
Wahaya ni watu wa utaratibu na ndo maana wanasemwa ndivyo sivyo. Kumbuka mzee wa watu alivyohusishwa kwenye kashfa ya ESCROW lakini kakaa kimya .. unajua ni kwa nini?
Yote yanayoongelewa aliyajua kabla ya kuongelewa .. wanaopiga kelele ni mashabiki wa matukio.
 
If so, mimi nilifikir BK ingekuwa kama New York.....

Au ndio elimu ya misifa.
 
If so, mimi nilifikir BK ingekuwa kama New York.....

Au ndio elimu ya misifa.
Soma uelimike - sio soma upate vitu!
Maendeleo ya watu ni tofauti na maendeleo ya vitu!
Nyuma ya jitihada za maendeleo ya Bukoba kulikuwepo na roho za korosho toka serikalini kama ilivyo hadi sasa.
Binafsi nimesomea huko Bukoba vijijini miaka ya 80 sikuwahi kukaa chini .. nimekuja huku mikoa mingine nimekuta watoto wanakaa chini tena shule za mjini. Jiulize ...
 
HAA! Mimi nilidhani kuwa hawa ni wa Tanzania !!!!!!!!!
 
Hahaaaa!!!! Msiwasahau wahaya wa temeke na manzese wale wa kwenye madanguro
 
Wahaya nikwali wanaogazi uzizi nawaoba sana vijana wezagu usikosee kuowa mimi musukoma siku moja nilieda bukoba kufanya kazi nikapata musichana wakihaya kirich nikuta dar nilikuwa noma sana nilimuta na jama yupo nae dani hadi leo hii sitaki kuwa na muke muhaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…