Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wahaya wana akili si kwa asili tu bali pia sababu za kihistoria kuna shule nyingi sana kule, hiyo ni sawa na Moshi, sasa darasa au chuo limejaa watu hao unategemea nini, Japo wahaya akili zao zote huwatoweka na kubaki na fuvu tu mara waonapo skirt over
 
Kijana una maono makubwa sana. Kama Tanzania ingepewa watu kama nyinyi tungekuwa mbali Sana katika maendeleo
 
This is the best comment for this thread!. OVER.

wakola, kasinge
 
Siwez nikapingana na muanzisha thread hii hata kidogo, kuna mengi ambayo hajayaweka hapa juu ya wahaya, so civilized society in Africa, wahaya , wanyakyusa na wachaga kwa mbali ndo watu au ndo alama za Tanzania, hata villagization haikupagusa kabisa uko, maana walijua mapema kujipanga na kujiendesha, leo hii ukishtukiza ukasema WAHAYA au WACHAGA wajitawale kiwe kinchi, watapiga hatua Kubwa na hawatakosa pa kuanzia, lakin, wakurupue wagogo, mama yangu,

NANUKUU PROFESSOR MMOJA WA KIKURYA " IF I COME ACROSS WITH A PROFESSOR KNOW AS A MAN FROM HAYA TRIBE NO QUESTION ON THAT, BUT IF THE PROFESSOR WILL BE FROM GOGO PEOPLE, I HAVE TO DOUBT A BIT,
 
Utumbo huu jamani, huyu alienda Bk kufanya kazi gani? labda alienda kusaidia kukamata senene.
 
Umejitahidi sana hongera! lakini juhudi zako zimeongezwa sana na ushabiki na sio reality.

Wachaga (chaga) ndiyo kabila lenye wasomi wengi zaidi Tanzania na Nje ya Tanzania. Ebu kwa ufahamu wako weka orodha ya wachaga uone na ulinganishe. Mimi sio mchaga ila ni kabila la 10 Afrika kwa kuwa na Elimu. na wahaya hawapo kabisa. Anza na maprofesa tafadhari.

Na tushukuru tu haya majamaa (wachaga) yamejikita kwenye kutafuta noti yange egemea kabisa kwenye elimu tungekwisha kabisa.


LAKINI NI UPUUZI KABISA KUANZA KUZUNGUMZIA MAKABILA MAKABILA KATIKA KARNE HII. IT IS SHAME!!!!
 
CHOCHOTE KILICHOPO NI LAZIMA KIONGELEWE TU!
 
Kwa kuwa wao ndio waliosoma na kushika nafasi za utendaji, wao ndio waliosababisha Tanzania kuwa nchi maskini. Kwa hiyo kukariri siyo akili. Wenye akili hugundua mambo mapya siyo Kukariri mambo yaliyopita. Kama wangekuwa na akili leo hii Tanzania ingekuwa nchi Tajiri.
 
Kweli nimeamini elimu hii tuliyorithi kutoka mkoloni bado inaendelea kutufanya watumwa wa wazungu. Thread kama hii inaonyesha jinsi DOZI ya divide and rule ya Mwingereza ilivyokuwa kali.

Hivi unajua ukianza kubagua kabila moja na jingine utaishia wapi? Mwisho utafikia kwenye kukubali race fulani ni bora duniani kuliko zote. Hapo unakuwa umefikia mahali alipokuwa amefikia Adolf Hitler.

Pamoja na elimu mtu uliyopata ya kuanzisha theead kama hii bado unashindwa kujua kuwa eneo la Kagera, Kilimanjaro na Mbeya yalipata advantage zaidi tangu ukoloni hivyo kupata maendeleo mapema kuliko jamii nyingine? Hamjui kuwa mkoloni alitaka watu wajione bora kuliko wengine ili pasiwe na ushirikiano, na kwa kugawanya hivyo baadhi ya makabila yakapata advantage na kuaminishwa au kupendelewa kuliko mengine. Ugonjwa huu ndio unaowatafuna Watutsi huko Rwanda na Burundi.

Huwezi walinganisha watu unless umedhibiti mazingira yao kama vile socialization, chakula, na privileges ziwe sawa. Otherwise, ni kuonyesha elimu uliyopata bado haijakusaidia kuwa critical thinker.
 
[HASHTAG]#Ukabila[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Ignorance[/HASHTAG]..
 
Kwa afrika mashhariki watu wenye akili sana wanapatikana eneo la kuzunguza ziwa victoria wanaokula sana samaki na maeneo yanayolima kahawa,chai na ambao chakula chao kikuu ni ndizi

Kimpangilio kuanzia la kwanza watu wenye akili sana ni

1.Wajaluo wametoa hadi Obama raisi wa Marekani
2.Wachaga
3.wahaya
4.Watusi
5.wanyakyusa

Makabila mengine wana akili za wastani
 
CHOCHOTE KILICHOPO NI LAZIMA KIONGELEWE TU!
Malisoka
Malisoka unaloss point, kuwa na wasomi wengi haimaanishi ni kuwa intelligent people wengi, yawezekana ni nafasi za kujoin darasa ni nyingi kwa chagga kutokana na idadi ya shule walizonazo! Intelligence ni kitu tofauti Malisoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…