Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Tena hivi majuzi padre delphinus rwehumbiza ameongoza Cuea university
 
Wangekuwa wachaga tungewaita wakabila ila nyinyi tumewazoea kwamba mnapenda sifa
 
The mere fact of doing such a research shows myopic thinking.
Was it important to do it anyway!?? Umesema wakikuyu!!?? you are not serious nenda kawafanyie Waluo haraka
 
most intelligent wameshindwa hata kuwajengea wazazi wao nyumba kule vijijini? uliona kilitoonekana wakati wa tetemeko? aibu tupu, majigamo empty.
 
most intelligent wameshindwa hata kuwajengea wazazi wao nyumba kule vijijini? uliona kilitoonekana wakati wa tetemeko? aibu tupu, majigamo empty.
Acha masimango maskini wewe, unacheza na tetemeko, acha kufuru! Soma historia vuzuri ya Kagera, nafikiri unajua nini maana ya nyarubanja! Wahaya ni kati ya makabila tangu enzi wanajenga kwao. Hata hivyo si wahaya wote wanaweza kujenga nyumba bora kutokana na uwezo. Hata kwenye majiji yetu, sio wakazi wote wana nyumba bora ukiwemo na wewe. Makabila machache waliweza kujenga kwao hapa nchini miaka ya nyuma! Kama ndugu Hute huna wivu utakuwa shahidi kuwa wahaya wanajipenda sana, tafuta kwenye majiji yetu, mhaya akiwa na pesa, nyumba, shule za watoto wake na usafiri wake kwake ni moto wa kuotea mbali!
 
masikini baba yako na mama yako ambao haujawasaidia hadi leo wanaishi kwenye migomba nyumba za nyasi, mnajifanya mko juu wakati hamjajenga kwenu, na tetemeko liliwaumbua sana pusi nyie. kama mna hela kwaninin msijenge nyumba bora? unasoma havard, umekuwa prof lakini kwenu bado sifuri, akili au matope hayo. ndio kipimo cha akili huko katerero? njoni mikoa mingine mjifunze. mnawaza kutiana tu na kuuza mbunye. ungelijua dada zako wa kihaya wangapi nimewakaza tena kwa kuwanunua hadi kufikia umri huu, ungefyata mkia. nimewadharau balaa.
 
Kwa kuwa kina Socrates,Aristotle, Karl Marx walikuwa mamilionea...
Kipi kinachokuaminisha kuwa pesa ni kila kitu...pesa ndio mafanikio pekee duniani...?
Wewe wa mkoa gani wewe???!!!! kwi kwi kwi


 
Nafikiri hujui ulisemalo, nenda Bukoba utembee ukaone. Sio kila mtu anauwezo kwa kujenga kwao lkn watu wengi including marafiki zangu wahaya ninaowajua wamejenga haswa. Wee unaongea kiushabiki hujui kitu. Wewe kwanza unatoka mkoa gani tujue sio unasema tu, kama sio mchagga kaa chini na funga mdomo!
 
Inachekesha jinsi watu wanavyotoa povu...
kani mtu akisifiwa wewe unapungukiwa na nini...
acheni wivu wa 'kike' ha ha ha

Na hii inaonyesha jinsi gani wa Tz wengi walivyo na roho mbaaaaya...
mafanikio ya wenzao kwao ni msiba
 
Yeah. Jamaa wako vizuri upstairs... Sema tu UKIMWI uliwamaliza wengi wao. Isingekuwa hivyo wangefika mbali zaidi....
Uliwamaliza kwa hulka yao ya kutaka kuongoza kila kitu.
Subiri na report za Zika uone wanavyotutimulia vumbi.
 
Huu ni ujinga na ukabila kama huna cha kuandika kaa kimya.
We ni mnyiramba? Mbona umeng'aka kama umetoka kupata supu ya kichwa cha punda!!!!
 
Watani zangu ni kweli mpo vizuri upstairs. Lakini hamtufikii babu zenu kutoka mkoa wa mara. Nyerere aliwazidi ujanja hadi akawadhibiti.

Lakini mpo poa sana ingawa mna kaubinafsi. Pale mlimani wakati tunachukua Bachelor ya Sayansi nilikuwa nasumbuana na jamaa yangu wa kihaya kufaulu vizuri. Nikili kwamba alinitoa kwenye namba maana mie hisabati kupata 100% mwisho ilikuwa form three.

Yupo pale anatafuta u profesa mie niliamua kuingia kitaa nikakataa ualimu.
 
Kwangu Mimi Tanzania makabila bora yenye akili no

1. Wachaga
2. Waking a
3. Wahehe na wabena
4. Wandali
5. wanayakyusa

Ila wachaga nawapa heshima kwa mchango wao wa kuendeleza Tanzania. Ukienda uchagani papo safi, dar bila wachaga na wakinga kingekua kijiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…